ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,554
- 89,999
Naunga mkono hii Kauli maana wanaona upigaji wao unaenda kufika mwisho Sasa wanatumia Kila uzushi, propaganda na upuuzi mwingine Ili Bandari wasipwewe DP World ambao watakomesha huu wizi na ushenzi, Bandari yetu sio shamba la bibi la kunufaisha wachache.
Wakati wa Sakata la Maasai Wa Ngorongoro wale wezi kutoka Kenya waliokuwa wanaoshilikiana na kina Sendeka walishikishwa adabu saizi kimyaa.
Wakati wa Sakata la Maasai Wa Ngorongoro wale wezi kutoka Kenya waliokuwa wanaoshilikiana na kina Sendeka walishikishwa adabu saizi kimyaa.