Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Irreparable damageTatizo la viongozi kuwa wao ndiyo mspolisi na mahakimu wakati huo huo. Hata rais huwa haagizi hivyo huwa anaagiza uchunguzi na hatua kuchukuliwa. Sasa una muweka mtu ndani baada ya kudikiliza malalamiko ya upande mmoja, je baadaye ikionekana uliye mweka ndani hana kosa utamfidiaje. Wakuu wa wilaya na mikoa wengi wamekuwa madikteta hawafuati sheria na taratibu kabisa
Ni baadhi ya maneno yaliyotamkwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa,mdogo wangu na Mwanasheria mwenzangu Ally Hapi. Alikuwa akielekea kutoa amri ya kukamatwa,kuwekwa ndani,kuhojiwa na kufikishwa mahakamani kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa na Diwani wa Viti Maalum huko Iringa kwa tiketi ya CHADEMA.
Kadiri ya clip ya video niliyoitazama kwa MillardAyo,kuna Mzee mmoja alilalamika kwa RC Hapi kuwa amebomolewa nyumba yake kwa amri ya Mwenyekiti na Diwani huyo wa CHADEMA. Mlalamikaji akajitambulisha kama Mwenyekiti wa Tawi la CCM.Mwanamama mhusika alijitetea bila mafanikio. Akakamatwa na askari wa kike wa JWTZ baada ya kukosekana kwa askari wa kike wa Polisi.
Kimsingi,maneno ya aina hiyo yamekuwa ya kawaida kwa Wakuu wa mikoa na wilaya nchini. Yana tija gani? Yaendelee?

HAHAH MIMI NI MTU HATAR USINICHEZEE.JWTZ LINATIWA AIBU
Wanajaribu kujifananisha na aliyewateuaTatizo la viongozi kuwa wao ndiyo mspolisi na mahakimu wakati huo huo. Hata rais huwa haagizi hivyo huwa anaagiza uchunguzi na hatua kuchukuliwa. Sasa una muweka mtu ndani baada ya kudikiliza malalamiko ya upande mmoja, je baadaye ikionekana uliye mweka ndani hana kosa utamfidiaje. Wakuu wa wilaya na mikoa wengi wamekuwa madikteta hawafuati sheria na taratibu kabisa
NiahNimeiangalia hiyo clip nimeona aibu yule mama alivyokuwa akizomewa na mijana mike ambayo yawezekana kuwa anaizaa. Kila alipojaribu kujitetea, hakusikilizwa.
Swali mbona Mgambo waliotumwa kuvunja hawakufika kutoa ushahidi. Kwa nini hao viongozi wa CCm waliruhusiwa kuongea wakati mkutano haukuwa wa chama? Anyway mlalamikaji atapewa laki tano sijui zinatoka fungu lipi? Ipo siku. Wamuulize Kenneth Kaunda na marehemu Chiluba mchezo unavyoweza kugeuka. Hata Rais wa Misri alidhani atafia madarakani, ashukuru katolewa jela.
Ninyi ni wajinga wala sio madaraka ya kulevya
Mnatawaliwa badala ya kuongozwa karne ya 21 bado mnaishi karne ya 17 ninyi
Nendeni shule mkajitambue zaidi
Kweli lakini wakati mwingine, ng'ombe hujirudisha toka malishoni.Niah
Usilinganishe watu wa misri na watu wa bongo
Misri asilimia kubwa wanajitambua na kujielewa same as Zambia though uchumi wao unatofautiana sana
Bongo kuna wajinga na wapumbavu wengi sana
So hayo yakusema wangoje ya misri au Zambia ni ndoto kwa bongo utasubiri sana huko kuna ng'ombe nyingi sana