red bandama
JF-Expert Member
- Jul 29, 2016
- 483
- 574
Wanajukwaa mtakumbuka juzi juzi hapa bw. Gambo alikusanya vijana wengi pale Sheikh Amri akamwingiza kingi na wazir mkuu Majaliwa kwa kile alichokiita kugawa pikipiki bure.
Nyuma ya pazia ni Kuwa wale wahindi walioleta pikipiki pale uwanjani ni kuwakopesha kwa riba kubwa
Kwa mfano
Ili upate pikipiki Za bw. Gambo inabidi uende kwa mwenyekiti wa mtaa.
Uweke thamani ya kitu kisichopungua laki nne
Halafu kila siku upeleke elfu saba kwa mwenyekiti wa miaka mitatu
Wanajukwaa angalieni huu usanii unaofanywa na hawa vijana wa CCM.
Arusha haijawahi kutikisika Arusha haiwezi kuyumbishwa na siasa za kitoto bw Gambo.