Duh! Umewaza mbali Sana ndugu, akisoma atatafakari, na labda atajifunza na kuyaona yote aliyofanya kipindi kile Ni ubatili. Natamani Rambirambi atakazopokea kwa kifo Cha dada azipeleke mount meru pia! Mungu amtie nguvu, amfunue akili Yake, atambue walijisikiaje wengine walipokuwa katika hali Kama yake!Haya ndio yale machozi ya rambirambi?
Poleni kwani masiga ndo wewe rc gambo?Kwa masikitiko makubwa natangaza kifo Cha Dada yangu mpendwa Bi Mwajuma Gambo (akitoka yeye ni mimi) kilichotokea Jana tarehe 04/10/2018 kwenye Hospital ya Taifa Muhimbili Dar Es Salaam.
Mazishi yatakuwa siku ya Jumamosi tarehe 06/10/2018 Saa 6 Mchana kwenye makaburi ya MCHIKICHINI Ilala Dar Es Salaam.
Msiba upo nyumbani Kariakoo mtaa wa Mheza Karibu na Shule ya Sekondari ya Benjamini Mkapa. Mwaka huu tumepata mtihani mwingine baada ya kumpoteza tena mama yetu mzazi. Kazi ya Mungu haina Makosa!
Mwenyezi Mungu amjalie dada yetu kauli thabiti kaburini.
View attachment 887247
Naunga mkono hoja,rambirambi za msiba huu zikajenge kipande cha barabara ya matejoo!!Duh! Umewaza mbali Sana ndugu, akisoma atatafakari, na labda atajifunza na kuyaona yote aliyofanya kipindi kile Ni ubatili. Natamani Rambirambi atakazopokea kwa kifo Cha dada azipeleke mount meru pia! Mungu amtie nguvu, amfunue akili Yake, atambue walijisikiaje wengine walipokuwa katika hali Kama yake!
Wahenga wanasema malipo ni hapa hapa Duniani,ahera kuhesabiwa tuu. Ilifika kipindi akajiona yeye ni mungu mtu hakuna lolote litakalomsumbua sio kifo wala magonjwa. Ni kipindi chake sasa cha kukaa chini na kutafakari na kutubu uovu wake wote aliowafanyia wenzake iwe kwa utashi wake au kwa maelekezo. Pole yake sana.Duh! Umewaza mbali Sana ndugu, akisoma atatafakari, na labda atajifunza na kuyaona yote aliyofanya kipindi kile Ni ubatili. Natamani Rambirambi atakazopokea kwa kifo Cha dada azipeleke mount meru pia! Mungu amtie nguvu, amfunue akili Yake, atambue walijisikiaje wengine walipokuwa katika hali Kama yake!
Pole sana Mkuu Gambo.Kwa masikitiko makubwa natangaza kifo Cha Dada yangu mpendwa Bi Mwajuma Gambo (akitoka yeye ni mimi) kilichotokea Jana tarehe 04/10/2018 kwenye Hospital ya Taifa Muhimbili Dar Es Salaam.
Mazishi yatakuwa siku ya Jumamosi tarehe 06/10/2018 Saa 6 Mchana kwenye makaburi ya MCHIKICHINI Ilala Dar Es Salaam.
Msiba upo nyumbani Kariakoo mtaa wa Mheza Karibu na Shule ya Sekondari ya Benjamini Mkapa. Mwaka huu tumepata mtihani mwingine baada ya kumpoteza tena mama yetu mzazi. Kazi ya Mungu haina Makosa!
Mwenyezi Mungu amjalie dada yetu kauli thabiti kaburini.
View attachment 887247
Mheza, Muheza ingependeza zaidi.Kwa masikitiko makubwa natangaza kifo Cha Dada yangu mpendwa Bi Mwajuma Gambo (akitoka yeye ni mimi) kilichotokea Jana tarehe 04/10/2018 kwenye Hospital ya Taifa Muhimbili Dar Es Salaam.
Mazishi yatakuwa siku ya Jumamosi tarehe 06/10/2018 Saa 6 Mchana kwenye makaburi ya MCHIKICHINI Ilala Dar Es Salaam.
Msiba upo nyumbani Kariakoo mtaa wa Mheza Karibu na Shule ya Sekondari ya Benjamini Mkapa. Mwaka huu tumepata mtihani mwingine baada ya kumpoteza tena mama yetu mzazi. Kazi ya Mungu haina Makosa!
Mwenyezi Mungu amjalie dada yetu kauli thabiti kaburini.
View attachment 887247
NEXT! come in.Juzijuzi tu mama yake na leo dada yake, only Allah decides who and when to die. INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAJIUUNA.