RC Gambo afiwa na Dada yake

Nampa pole Jpm.
Namuomba asome repercation ya wananchi kwa mteule wake mara baada ya kufiwa na dada yake.

Amfanyie wepesi nafasi hiyo aimiliki milele kinyume chake atatengwa na jamii.
 
acha ujinga,Familia ya Lema walikesha kufunga na kuomba,majibu ndio haya sasa,una mali nyïngi huna wa kula naye
Mungu sio wa hivyo mkuu...kama angekuwa kama unavyomfikiria hata pengine wewe ungekuwa haupo.

Kifo ni suala ambalo hata wema linawapata vile vle...we sio msemaji wa Mungu.
Kufiwa mara mbili au tatu kwa mwaka ni kudhibitisha ile kauli ya Mungu "hakika mtakufa"
Acha fikira mgando na ushabiki wa kisiasa kwenye mambo ya lazima kama kifo.
ASANTE
 


nahisi wewe ndo gambo mwenyewe...toka oline basi kaomboleze vzr
 
Sure aisee, tusimuingize Mungu kwenye fikra zetu duni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…