M Msenshe Member Joined Dec 18, 2010 Posts 40 Reaction score 2 Dec 24, 2010 #1 Dk.msekela amechemsha kwa kusimama mbele na kutangaza kuwa maandamano ya wanachuo ni haramu. Hivi rc anayetakiwa kuwa neutral anapokuwa na upande watu wakimbilie wapi?? Amejiaibisha kwa kuingilia kazi ya polisi au ndo anatafuta kuendelea na ulaji??
Dk.msekela amechemsha kwa kusimama mbele na kutangaza kuwa maandamano ya wanachuo ni haramu. Hivi rc anayetakiwa kuwa neutral anapokuwa na upande watu wakimbilie wapi?? Amejiaibisha kwa kuingilia kazi ya polisi au ndo anatafuta kuendelea na ulaji??