RC Dar, Mwanza, Mbeya Kandoro acha fitina na wamachinga... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RC Dar, Mwanza, Mbeya Kandoro acha fitina na wamachinga...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zubedayo_mchuzi, Nov 14, 2011.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Huyu Kandoro yeye ndo Mwiba wa kutengeneza fitina za wahangaikaji waliojiajiri kwa nguvu zao wenyewe.Yeye kwa sifa na sera ya safisha jiji basi ndo Kuwaumiza wengine.
  We kandoro unamatatizo gan?
   
 2. l

  lumimwandelile Senior Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kandoro hana sifa ya kuwa mkuu wa mkoa. kazi yake kubwa ni kuanzisha vita, damu ya kijana aliekufa mby iko juu yako
   
 3. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,382
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Nasikia KANDORO sio Mtanzania ni Myemeni ndio maana anapenda sana vita na wenyeji wa nchii kana kwamba bado mwarabu anatutawala
   
 4. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Ndomana muda wote anawaza vita vita
   
Loading...