RC Dar apiga marufuku watendaji walio chini yake kusafiri nje ya jiji bila kibali chake

hahahhah like the father like the son .baba alipga marufuku watumishi kwenda nje ya tanzania mpaka yeye aoe kibali. son rais wa mkoa ,nimarufuku kwa watumishi katika mkoa wake kwenda nje ya dar ,ngoj tusubiri mkuu wa wilaya .katibu tarafa , na wajumbe wa nyumba kumi nao watapga biti
 
Muwe wavumilivu tu yanamwsho haya...walikuwepo akina mama Anna m.kapa,.akina ridhii moko akina n.k wooooote kwishinei...2020 sio mbali...vumilieni tu
 
DED ANAOMBA RUHUSA KWA RAS KAMA SIJAKOSEA
 
Ki
Kwa muda wote au siku za kazi? Yaani mwajiriwa wa mkoa dar hawezi akatoka ijumaa jioni akaenda morogoro weekend akarudi dar j2 jioni na j3 akawa ofisini? Na hiyo lazma aombe kibali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kisheria unatakiwa uombe ruhusa Hata kama ni weekend kumjulisha mkuu wako kwamba uko nje ya eneo la kazi. Tupitie kidogo makabrasha ya kiutumishi.
 
Kila siku hawa wapumbavu wanakuja na mapya mwisho tutaambiwa hakuna kujisadia mpaka upate kibali.
 
hii ndio shida ya kuwapa uongozi majitu yasiyo na elimu.kila mtu atekeleze wajibu wake.hao maafisa utumishi na wakurugenzi katika manispaa watafanya kazi gani?
 
Ukipata zero shule huwezi kufanya namna ukakwepa kuonyesha hiyo zero kupitia akili yako kama Bashite..
Zero shule.. Zero kwenye Brain..Zero kwenye matendo.
Yani Zero kote mpaka kwenye Penati zeroooo... Ila hili Zero brain dawa ipo jikoni huyo babake mwenye kibetri kwenye moyo kikiisha chaji au akaondoka pale juu tutambeba juu juu huku tukimweka kibra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…