RC Chalamila: NECTA ianze kuwatambua Wanaofeli Mitihani ili Wafanyiwe Utafiti, Mtu kukaa Darasani miaka 4 na Kupata Div 0 Siyo kawaida!

Kufaulu mtihani sio kufaulu maishani, haya maneno alituambia Headmaster wetu miaka ya nyuma sana

Nimesikia Rais nae kayarudia akisema Chala kayaleta kama utani ila ni ukweli
Jamani wapo hao watoto tunawaita special kids sasa kwa waafrika unapiga mtoto kuanzia la kwanza mpaka form 4 unachapa tu
Sio kila mmoja anauelewa na hili ilikuwa mlijue zamani sana,mbona shule za private mnawafanyia assessment

Kuna majitu makubwa yalikuwa yamekaa hapo wakati Rais anaongelea hilo halafu yanacheka na kuwacheka hao watoto, hao mimi ndio nimewaona wapumbavu kuliko hao wanaosemwa
Badala ya kusikitika yanacheka kama mafisi

Wabongo wabadilike kujichekesha mbele ya bosi kwa kila kitu ni Utumwa
 
Sasa kama yale aliyokesha kukariri siku ya mtihani hayakutoka angefanyaje?

Huyu hana tofauti kubwa na yule aliyekesha kukariri kisha siku ya mtihani yakatoka yale aliyosoma jana usiku, ambapo akifaulu anaitwa genius!.

Kwa hii elimu yetu ya madesa sioni sababu ya kumpongeza au kumlaumu yeyote kati ya hao wawili hapo juu, wote wasanii tu, tofauti yao mmoja alikutana na ajali kazini, mwingine akanusurika.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Yeye mbona alibishana na ATM mpaka card yake ikamezwa mbona hakuna aliemfatilia.ATM inaonesha kiwango chake cha pesa ni kidogo yeye akawa anabishana nayo tu.Na uzi wake uliletwa humu ,wakati anasoma UD.
 
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amelishauri Baraza la Mitihani Tanzania kuwatambua Wanaofeli Mitihani ili Wafanyiwe Utafiti

Chalamila amesema Mtu kukaa Darasani miaka 4 halafu anapata Division Sifuri kuna jambo la kujifunza hapo

Source: Mwananchi

Hao NECTA wameshindwa kushauri waalimu wa Hesabu na Sayansi waajiriwe huko shule za Msingi na Sekondari, kila mwaka wanaendelea kusahihisha masifuri tu
Sijui kama hili nalo linahitaji kupoteza pesa kwa ajili ya kutafiti eti kwa nini wanafunzi wanafeli Hesabu wakati jibu liko wazi kabisa...
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amelishauri Baraza la Mitihani Tanzania kuwatambua Wanaofeli Mitihani ili Wafanyiwe Utafiti

Chalamila amesema Mtu kukaa Darasani miaka 4 halafu anapata Division Sifuri kuna jambo la kujifunza hapo

Source: Mwananchi
Kwa mara ya kwanza namuunga mkono huyu pimbi!
Kumbe huwaga na inquestic mind!
 
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amelishauri Baraza la Mitihani Tanzania kuwatambua Wanaofeli Mitihani ili Wafanyiwe Utafiti

Chalamila amesema Mtu kukaa Darasani miaka 4 halafu anapata Division Sifuri kuna jambo la kujifunza hapo

Source: Mwananchi

Nape awe sample specimen

Najua wewe johnthebaptist utakuja na majungu yako ya Kibaha sec. Ila ujue Kibaha wanasoma wenye vipaji
 
MADIVISHENI FOO wanatusumbua sana, hata humu jamiiforums wamejaa.

MADIVISHENI FOO na MADIVISHENI ZIRO, ni mchangayo.
 
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amelishauri Baraza la Mitihani Tanzania kuwatambua Wanaofeli Mitihani ili Wafanyiwe Utafiti

Chalamila amesema Mtu kukaa Darasani miaka 4 halafu anapata Division Sifuri kuna jambo la kujifunza hapo

Source: Mwananchi
Inategemea anakaa darasani akifanya nini. Iwapo anakaa darasani ili kupisha miaka iende bila kujifunza chochote, basi atakapopewa mtihani ni lazima apate zero.

Mtoto kujifunza, inategemea na mambo mawili; mwalimu anayefundisha, pamoja na mazingira anamoishi mtoto mwenyewe. Kama mwalimu ni zero basi hata mtoto atakuwa zero; kama mwalimu anafundisha vizuri, lakini mazingira ya mtoto yananyima mwanya wa ku-assimilate aliyofundishwa, basi atabaki na zero tu.
 
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amelishauri Baraza la Mitihani Tanzania kuwatambua Wanaofeli Mitihani ili Wafanyiwe Utafiti

Chalamila amesema Mtu kukaa Darasani miaka 4 halafu anapata Division Sifuri kuna jambo la kujifunza hapo

Source: Mwananchi
😇😇
 
Point nzuri sana.
Matokeo ya Mitihani pia yawaelemishe watoa elimu ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi kwa kujua mapema changamoto za mwanafunzi ambae anaonekana dhaifu darasani ili zitafutiwe suluhisho.
 
Bro Kumbuka alikuwa hasomei kucheza soka.....

Mkuu nimekwambia Kuna watu hawapandishi hata wakikesha.

Kuna dogo namjua alifeli kidato Cha pili Mara mbili akarudi nyumbani, wazazi wakampeleka Tena shule akaanza form one, then form two akafeli Tena, akarudia , akafeli tena.

Namna bora ya kumsaidia huyu mtu ni nchi kujenga mifumo ya kutambua potential aliyonayo. Kuna watu hawana uwezo wa kucrame , lakini ukimfundisha ujuzi kwa vitendo anamaster kitu.

Haiwezekani nchi iwe na njia mbili tu za mafanikio yaani either ukae darasani au uwe kibaka, hatuwezi kufika kwa staili hiyo.
 
Back
Top Bottom