RC Chalamila, jinai huwa haifi. Punguza dhihaka, Damu za ndugu zetu zi mikononi mwako. Leo au kesho lazima utajibia, Tanganyika mpya yaja

RC Chalamila, jinai huwa haifi. Punguza dhihaka, Damu za ndugu zetu zi mikononi mwako. Leo au kesho lazima utajibia, Tanganyika mpya yaja

digba sowey

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
10,141
Reaction score
22,022
Nimekuwa nikimfatilia huyu bwana Chalamila mwenye kichwa kinachofanana na senene wa Bukoba akijinadi hadharani na kutuaminisha kuwa ni mwema na hahusiki juu ya mauaji ya maelfu ya watanganyika ,la hasha. Chalamila Leo unajiona mwema ila tambua kizazi chako na familia yako lazima italipa damu za watanganyika,

Tambua kuwa Kuna Tanganyika mpya ipo mbioni , Tanganyika hii itataka wote waliohusika kutoa amri ya kuua watanganyika wenzetu wachukuliwe hatua,nakuambia Chalamila hutapona.Majivuno yako na juhudu zako zote zitaishia jera, Mungu aturehemu ,atujalie uzima,nitakuja kukusalimia kwenye Gereza utakalo kuwa umefungwa na nitakukumbusha huu ujumbe

Tambua kuwa wewe ukiwa mwenyekiti wa kamati ya usalama ya mkoa ulipokea amri Toka kwa Samia ya kushuti na kuwaua watanganyika wenzetu,nakuambia si Leo Wala kesho utalipa gharama za damu za ndugu yetu.

Chalamila,kichwa senene,siku zako zinakuja
 
Masela hapo Dar mnashindwaje kumtembelea huyu kiazi pumpkin head?!
 
Naturally watu wenye vichwa modeli ya Chalamila wanakuwa wapuuzi sana ukichanganya na bangi anazyopuliza ndiyo anakuwa mpumbavu kabisa
 
Back
Top Bottom