Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,703
- 32,277
ok.🐒Huyu RC kabisa anakaa kuongelea suala la kipuuzi kama hili kwenye kusanyiko la watu? Kutongozwa na mwanamke anaona ni big deal na hadi kushirikisha police?
Watu wenye akili wanamtizama na kuona ana utoto na ufala tu. Angeweza mblock huyo mwanamke na maisha yakaendelea. Au angemu ignore tu wala isingempunguzia kitu. Hawa viongozi wanapoteza muda wa watu kukaa kuzungumzia mambo personal ya kipumbavu ambayo hayahitaji hata certificate ku deal nayo.
Wapo watu wana tatizo la afya ya akili tu kama huyo dada wala hakukuwa na haja ya kumdhalilisha namna hii. Huo ni ufala pengine yeye anaona ndo ataonekana mwadilifu kwa kitendo hiki.
View attachment 3665529
Ha ha RC hataki mtongozo, Hebu tuma hiyo picha ya huyo Sophia.Huyu RC kabisa anakaa kuongelea suala la kipuuzi kama hili kwenye kusanyiko la watu? Kutongozwa na mwanamke anaona ni big deal na hadi kushirikisha police?
Watu wenye akili wanamtizama na kuona ana utoto na ufala tu. Angeweza mblock huyo mwanamke na maisha yakaendelea. Au angemu ignore tu wala isingempunguzia kitu. Hawa viongozi wanapoteza muda wa watu kukaa kuzungumzia mambo personal ya kipumbavu ambayo hayahitaji hata certificate ku deal nayo.
Wapo watu wana tatizo la afya ya akili tu kama huyo dada wala hakukuwa na haja ya kumdhalilisha namna hii. Huo ni ufala pengine yeye anaona ndo ataonekana mwadilifu kwa kitendo hiki.
View attachment 3665529
Huyu ni fala kweli,Tena mkulima mshamba, Saba SabaHuyu RC kabisa anakaa kuongelea suala la kipuuzi kama hili kwenye kusanyiko la watu? Kutongozwa na mwanamke anaona ni big deal na hadi kushirikisha police?
Watu wenye akili wanamtizama na kuona ana utoto na ufala tu. Angeweza mblock huyo mwanamke na maisha yakaendelea. Au angemu ignore tu wala isingempunguzia kitu. Hawa viongozi wanapoteza muda wa watu kukaa kuzungumzia mambo personal ya kipumbavu ambayo hayahitaji hata certificate ku deal nayo.
Wapo watu wana tatizo la afya ya akili tu kama huyo dada wala hakukuwa na haja ya kumdhalilisha namna hii. Huo ni ufala pengine yeye anaona ndo ataonekana mwadilifu kwa kitendo hiki.
View attachment 3665529
Huna nyongeza wa kwenye1,2!ok.🐒
Yupo makuu kuu ya CCM sijui ni mkurugenzi wa niniNi aliyekuwa kumbe...kwa sasa ni nani na yuko wapi?!Maana nilikoma kumfuatilia baada ya kujiingiza kwenye dili feki la kumchafua HECHE..na hata PR yake ilichuja kwa kasi tangu sakata hilo..
.Ndiyo ameona atoke ki hivi tena...siyo!!!?
Huyo Rc atakuwa shoga, Sasa kutongozwa na mwanamke ni jambo la kuvalia njuga mpaka kupeleka mtu polisi?Huyu RC kabisa anakaa kuongelea suala la kipuuzi kama hili kwenye kusanyiko la watu? Kutongozwa na mwanamke anaona ni big deal na hadi kushirikisha police?
Watu wenye akili wanamtizama na kuona ana utoto na ufala tu. Angeweza mblock huyo mwanamke na maisha yakaendelea. Au angemu ignore tu wala isingempunguzia kitu. Hawa viongozi wanapoteza muda wa watu kukaa kuzungumzia mambo personal ya kipumbavu ambayo hayahitaji hata certificate ku deal nayo.
Wapo watu wana tatizo la afya ya akili tu kama huyo dada wala hakukuwa na haja ya kumdhalilisha namna hii. Huo ni ufala pengine yeye anaona ndo ataonekana mwadilifu kwa kitendo hiki.
View attachment 3665529
Nje ya box umewaza mkuu.Au alihisi ni mtego yaje yamkute ya aliyekuwa RC Simiyu,Dr Nawanda na binti wa SAUT.
NB:Hata mwanaume ukikataliwa acha usumbufu,futa na namba.
Kwakweli huyo jamaa nimemdharau Sana. 👎Ni aliyekuwa kumbe...kwa sasa ni nani na yuko wapi?!Maana nilikoma kumfuatilia baada ya kujiingiza kwenye dili feki la kumchafua HECHE..na hata PR yake ilichuja kwa kasi tangu sakata hilo..