OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Kada mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi, kataka Rais mstafu Jakaya Kikwete kuondoka na kumwachia Rais mpya, John Magufuli uenyekiti wa CCM...
Kada huyo kasema hayo leo, huku baadhi ya wabunge vijana nao wakijipanga kumuomba Kikwete, kuondoka na kumwachia Magufuli chama kama walivyofanya watangulizi wake, Rais Mwinyi, na Mkapa...
Source: Gazeti la Leo
JK abaki kuwa mwenyekiti wa chama, magufuli anakazi kubwa ya kudeki hii nchi.Ni kweli kwa nini Kikwete abakie kuwa mwenyekiti wa chama? Huyu inabidi anyang'anywe uenyekiti mara moja wala asibakie kiporo.
Na kiukweli bado anautaka...na anautaka sanaaaaaaaaaaa.
Ushauri wangu, akae pembeni na apumzike.
Ccm wanao utamaduni Huo wa kuachiana uongozi Kama Katiba Yao inavyohitaji, hapo tuwasifu.JK alipokea Toka kwa Mkapa na atakabidhi kwa JPM ifikapo 2017.Matatizo yapo upinzani...Tuhoji Mbowe atakabidhi Lini uenyekiti?..
Ccm wanao utamaduni Huo wa kuachiana uongozi Kama Katiba Yao inavyohitaji, hapo tuwasifu.JK alipokea Toka kwa Mkapa na atakabidhi kwa JPM ifikapo 2017.Matatizo yapo upinzani...Tuhoji Mbowe atakabidhi Lini uenyekiti?..
Ni kweli kwa nini Kikwete abakie kuwa mwenyekiti wa chama? Huyu inabidi anyang'anywe uenyekiti mara moja wala asibakie kiporo.
Na kiukweli bado anautaka...na anautaka sanaaaaaaaaaaa.
Ushauri wangu, akae pembeni na apumzike.
kwa sasa nchi iko kwenye misukosuko na haijatulia kabisa bora akaendelea kuwepo. hiki kiporo cha Zanzibar ni chake bora akakila akakimaliza, pia kubadibadili wenyeviti chama kinapoteza mtiririko wa program zake.
Waliokuwa hawamjui Raza, hakuna mtu kigeugeu na mnafiki kama huyu mtu. Hata wachukuzi bandarini, masikini ndugu zetu, akiwa na kazi zake wanahiari wasifanye kazi kuliko kumfanyia kazi huyu mtu. Muulizeni matamko yake ya Zanzibar huru yameishia wapi?
Mkuu mbona unafuatilia sana ya chadema?mwambieni jk akabidhi kofia kwa JPM
Wewe, hebu cheki vizuri, malalamiko yametolewa na Raza ambaye ni kada wa ccm, sasa haya kuhamishia mashambulizi kwa upinzani sio kabisa.Ccm wanao utamaduni Huo wa kuachiana uongozi Kama Katiba Yao inavyohitaji, hapo tuwasifu.JK alipokea Toka kwa Mkapa na atakabidhi kwa JPM ifikapo 2017.Matatizo yapo upinzani...Tuhoji Mbowe atakabidhi Lini uenyekiti?..