Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Msanii kutoka Wcb Raymond aka Rayvanny amesema Ali Kiba ni rafiki yake na atafanya nae kolabo endapo itatokea
mwache tu mtt akilia wembe mpeAnajitafutia mabaya huyu dogo
hivi kiba na diamond wana ugomvi?Hivi ugovi wa diamond na kiba unamuhusu nini yeye
Hivi ugovi wa diamond na kiba unamuhusu nini yeye