RAYVANNY aachia EP yake inaitwa NEW CHUI

RAYVANNY aachia EP yake inaitwa NEW CHUI

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,503
Reaction score
14,789
Ikiwa imepita miezi kadhaa baada ya kuachia album yake ya sound from Africa, usiku wa tarehe 28 Oct rayvanny ameamua kuachia EP yake ikiwa na jumla ya nyimbo 6 na dikika 19 za kusikiliza, mimi nimefanikiwa kuisikiliza album hiyo, cha kwanza asilimia 60 ya lugha iliyotumika ni kiingeleza naona hapa rayvanny ametarget soko la kimataifa zaidi
 
Back
Top Bottom