Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,754
Hivi ray, haka kademu kamemlisha nini
Hata kamalabda anafungua kifuniko cha pepsi!!!
sioni kama kuna sababu ya kufungwa na midini tuliyoletewa, nitamuoa nitakayempenda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona kazur tu mkuu alafu kapole hakanaga skendoHivi ray, haka kademu kamemlisha nini
kwa mfano wewe mwajuma umenipenda mimi peter utaniacha kwa ajili ya diniimani muhimu lakni isifanye uache umpendaye endapo tu anaamin Mungu[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
teh teh tehkwa mfano wewe mwajuma umenipenda mimi peter utaniacha kwa ajili ya dini
KhaKipindi yupo na mainda pia aliokoka
MkuuYani mwanaume kubadili dini kisa mwanamke....! Wacha ninyamaze 2
Aiseee jf yatosha!labda anafungua kifuniko cha pepsi!!!