Jibaba Bonge
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,246
- 404
Kafurah huyo. JB hajamuona?
Kilaza yule.............
Kwanza uwezo wa sanaa alio nao mashaka matupu!
yeye ni Mtambuzi kwa hiyo lazima alitambue...lol!bora umelitambua hilo..
Sasa Ray anaumaarufu gani stupido huyo??Nyerere kazikwa na Secretary of the state!Aje alinganishe na Kanumba??Nimemsikia Ray kwenye DW akidai eti umati wa watu uliohudhuria kuuaga mwili wa Kanumba ni mkubwa sana kuliko ule wa hayati mwl. Nyerere! Halafu eti kwenye tasnia ya filamu amebaki peke yake!
Ray acha kujiinua na wala hauko peke yako kama unavyodai. Halafu, hivi unajua Nyerere aliagwa kwa siku ngapi pale uwanja wa taifa, tena usiku na mchana? Unataka kusema umaarufu wa kanumba ni mkubwa sana kuliko ulivyokuwa / ulivyo ule wa Nyerere?
I hope hakusema hayo maneno ...