Tangia mwanzo nilisema kabisa katika safari yangu ya mwaka 2011 nitakuja kiutofauti kabisa katika movie zangu,Na sasa ndio nimeanza safari hiyo ambayo Mashabiki na Wadau wangu watapenda kuona mzigo unaokuja sasa hivi,Picha hizi zinaonyeshwa taswila ya mtu anayeswali kwa imani ya dini ya Uislam,Lakini nia yangu ni kujenga na wala sio kubomoa kama nilivyofanya kwenye Divorce.Na hii ndio safari niliyoanza nayo mwaka huu