Hiyo njia unapita hiyo mida kwa ajili ya kumuangalia ray c au inatokea tu maana mpaka maswala ya hospital unayafahamu. Wanaume wa dar kwenye ishu za umbea mpewe tuzo kwakweli.
Mkuu upo mkoa gani? Kwa umri uliona ni bora ukaacha kuandika ujinga ujinga km huu sioni tofauti yako na waimba taarabu! Umbea ni nini?km kweli wewe mdume usiengeandika huu upuuzi.
Anasikitisha, na mkorogo umemshinda, Maana alijibabua, kati ya watu waliosaidiwa Huyu nae alisaidiwa mno,pole yake mama yake.mbona alikuwa vizuri,kipi kilichomsibu
RAYC MWOMBE ROHO MTAKATIFU. AKUSAIDIE KUACHA HAYO MAMBO KWA AKILI ZAKO HUTAWEZA MAANA NI ROHO YA UARIBIFU IMEKUVAA,CHUKUA MISTARI (WARUMI 8:1-14) (YOHANA 14:26) (YOHANA 16:13) MAOMBI YAKO YALENGE KUOMBA UONGOZWE NA ROHO MTAKATIFU, NJE YA HAPO HUWEZI KUACHA JAMBO HILI.

Na shangaa watu kuleta mjadala wa huyu dada. Wanamsikitikia nini? Yeye mwenyewe hajipendi na wala hajihurumi.
Rais kwa mapenzi mema, alimpeleka mpaka India kutibiwa, karudi, hali iko vizuri. Leo tena karudia, tumsaidieje? Kumjadili haisadi kitu, bola kumuacha tuu, ndo maisha aliojichagulia.