Sidhani kama hii habari ni ya kweli...habari za uhakika nilizo nazo toka kwa mtu anayemsaidia kuacha madawa ni kuwa hajaacha, na kama wiki mbili zilizopita alitoroka rehab Hydom Arusha...na hana tena mawasiiliano na watu wanaomtakia mema..yaani waliokuwa wakijitahidi kumsaidia kuacha madawa ya kulevya unless anapokuwa hana kitu ndio anapiga simu za mizinga!
She is battling it...she needs help...a serious help!