Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,937
- 19,129
Alikuwa akihojiwa kipindi cha Planet Bongo,
amezungumzia mambo mengi ikiwemo bifu za wasanii, kutoa albamu, alivyoanza mapenzi .
Amedai bifu zinauwa ni nzuri sababu zinachangamsha muziki, alianza mapenzi akiwa na miaka 16 ila walaiachana kutokana na utoto na pia amedai watu wanamiss albamu kama zamani kwa kuwa siku hizi wasanii hawatoi tena, pia amesema sasa hivi ana nyimbo 8 tayari