Rav4 Model ya 2003 Inauzwa

Rav4 Model ya 2003 Inauzwa

Shark's Style

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
312
Reaction score
183
Jamani kitu hicho chauzwa bei poa.
>Kimetembea KM74000
>Transmission system ni Manual.
>Imported from Great Britain.
>Year of manufature 2003.
> Ipo katika hali nzuri inatembea.
>Bei ni milion 25.

DSC04967.JPG DSC04965.JPG DSC04968.JPG

Kwa yeyote alie interested aniandikie Private Message kwa mazungumzo zaid na kuhusu kuiona Gari Ipo Dar es salaam.
 
Hiyo picha ina resolution kubwa jaribu kui kuza au open in new tab utaona vizuri details za tairi. Sijui kama sijaelewa swali lako vizuri labda ufafanue vizuri swali lako kuhusu matairi.
 
Back
Top Bottom