Rav4 Milango Mitano kwa Tshs. 9m/= Tu!

SJUMAA26

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
607
Reaction score
168
Ilinunuliwa Uingereza na kuingizwa nchini mwaka 2009, Ni Manual Transmission, ya mwaka 1999, Sports Ream, Mileage ni 120,000km na imelipiwa kodi na leseni hadi May. Nataka kwenda kusoma ndio maana naiuza. Ipo Dsm, kwa anayehitaji tuwasiliane kupitia 0719077297.
 
Hiyo inafika musoma ndugu.weka mafuta ukanyage mwendo
 
Mkuu ungeweka picha ingekua jambo zuri

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mimi ninayo rav4 J mpya namba chy used toka uk green metaric na silver ufito wa chini 5 door nahitaji ml16
 
biashara ni matangazo,weka picha kuvutia wateja,mbona mnakuwa nyuma ya wakati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…