RAV4 kukata mafuta njiani, nini tatizo

Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,392
2,000
Wataalamu wazoefu wa magari naomba mnijuze RAV4 Kili time inapokata mafuta baada ya dakika kadhaa tatizo ni nini.

Asanteni
 
KUCHI

Member
Dec 27, 2010
83
125
Hiyo kilitime yako inatumia engine gani maana kuna zenye 1990cc ambazo no d4 engine na zingine 1800cc ambazo zina 1ZZ engine...but matatizo hayo ni common kwa d4 engines hasa plug zake zikichoka
 
LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,115
2,000
Wataalamu wazoefu wa magari naomba mnijuze RAV4 Kili time inapokata mafuta baada ya dakika kadhaa tatizo ni nini.

Asanteni
Daaa mkuu ungefafanua vizuri ingekuwa powa sana.kama mdau alivyo kushauri hapo juu ukisema tuu rav 4 kill time unakosea.maana hiyo body ya kill time imefungwa engine nyingi sana mpaka kuna engine za disel.

Najaribu kuelezea vizuri inakataje mafuta.kwenye condition gani gari inakata mafuta.speed kubwa au ndogo kwenye folen au unapotaka kusimama?.

Na vipi gari ikiwa silensa inatulia ?au inakuwa na makirikiri?.

Na hapo umejuaje kama inakata mafuta au gari huwa inazimika tuu.

Na huwa tatizo hilo hutokea gari ikiwa ya moto au yabaridi.na ikikata ukiwasha mda huo huo inakuwaje inawakaaa
 
Eudorite

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
1,136

Wewe ni mtaalam. Lakini nifafanulie hapo kwenye MAKIRIKIRI ulimaanisha MAKINIKIA au?

Makirikiri yana maana gani?
 
Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,392
2,000
Daaa mkuu ungefafanua vizuri ingekuwa powa sana.kama mdau alivyo kushauri hapo juu ukisema tuu rav 4 kill time unakosea.maana hiyo body ya kill time imefungwa engine nyingi sana mpaka kuna engine za disel.

Najaribu kuelezea vizuri inakataje mafuta.kwenye condition gani gari inakata mafuta.speed kubwa au ndogo kwenye folen au unapotaka kusimama?.

Na vipi gari ikiwa silensa inatulia ?au inakuwa na makirikiri?.

Na hapo umejuaje kama inakata mafuta au gari huwa inazimika tuu.

Na huwa tatizo hilo hutokea gari ikiwa ya moto au yabaridi.na ikikata ukiwasha mda huo huo inakuwaje inawakaaa
Asante tumeweka swtch au kipump cha mafuta imepona ilikuwa inazimika baada ya nusu saa hivi na inatumia petrol. Ni ya Uingereza 1Azd. ILa sasa imezua tatizo la taa ya oil kuwaka mfulilizo baada ya kufungua injini. Imebidi niipaki tu. Naomba ushauri Mtaalamu.
 
Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,392
2,000
Hiyo kilitime yako inatumia engine gani maana kuna zenye 1990cc ambazo no d4 engine na zingine 1800cc ambazo zina 1ZZ engine...but matatizo hayo ni common kwa d4 engines hasa plug zake zikichoka
Asante ni 2000 cc ya Uingereza 1 AZD?
 
Tabash yamashta

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
274
250
Chamsigi hapo mlete fundi wa waya kama atakwambia csitm ya waya ipo vizuri,, basi mlete fundi wa njin apime kama oilpump inafanya kaz
 
LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,115
2,000
Asante tumeweka swtch au kipump cha mafuta imepona ilikuwa inazimika baada ya nusu saa hivi na inatumia petrol. Ni ya Uingereza 1Azd. ILa sasa imezua tatizo la taa ya oil kuwaka mfulilizo baada ya kufungua injini. Imebidi niipaki tu. Naomba ushauri Mtaalamu.
Hapo kuna mawili laweza kuwa tatizo la umeme au tatizo la machenical.

Aidha switch mbovu,au wiring ina short waya unagusa kwenye body.kutambua hilo nenda kwenye switch ya oil na uuchomoe waya wake hatafu weka switch on hapo inatakiwa taa izime kama inaendelea kuwaka basi kuna short mahali..kama itazima basi switch ndio tatizo.

Jambo la pili washa gari fungua mfuniko wa engine angalia kama oil inapanda.kama inapanda basi switch majanga pia.kama haipandi basi oil pump ndio mbovu.

Na kama mlifungua engine na usafi haukuzingatiwa kwenye oil pump au ilifungwa vibaya basi imekufa hiyoo badilisha.

Au engine kama imetumika sana na nichafu jaribu kufanyia usafi ndani ya engine kama kufungua sample na kusafisha strainey
 
Asante sana Mkuu kwa utaalamy. Yes ukiwasha engine na kufungua mfuniko wa oil, inarusha oil. Fundi alisema nipaki et oil pump imekufa ama sivyo nikojaribu kuendesha itaknock engine. Hilo la switch ya oil mpaka nimtafute fund umeme kwani sijui ilipo. Txs
 
Jamiix

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
838
500
Hiyo ni 1AZ, D4, ni sensor imekufa ya fuel injection, (D4 sio engine ni technology kama turbo ama vvti) ni kua haziendani na mafuta tunayotumia yenye Lower octane 91(yaani ile super, premium na unleaded), itakusumbua kila mara kwakua mafuta ni haya haya
 
Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,392
2,000
Hiyo ni 1AZ, D4, ni sensor imekufa ya fuel injection, (D4 sio engine ni technology kama turbo ama vvti) ni kua haziendani na mafuta tunayotumia yenye Lower octane 91(yaani ile super, premium na unleaded), itakusumbua kila mara kwakua mafuta ni haya haya

Asante Mshauri. Labda niuze wakatekate au nifunge engine ingine. Txs
 
Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,392
2,000
Badili engine weka 1AZ plain(gearbox zinaingiliana) ama 1ZZ Vvti hapa utabadili na control box, pia 3S iliyounganishwa na geabox inakaa
Asante Mkuu. Naomba unishairi garaji au mafundi watatu wa kuunganisha 3s , 3s nitamudu gharama
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom