Rav4 Kilitime cc 1750 msaada

Rav4 Kilitime cc 1750 msaada

Chipskuku

Member
Joined
Sep 29, 2021
Posts
17
Reaction score
24
Wakuu Kwa DHATI naomba mwenye kuijua vema hii gari, Mafuta inatumiaje,(Lt per km), Spea zake, AC (how good it is), kwa kifupi faida na hasara zake kwa hii gari.

Naomba saana,
Mwishowe kwa Mil 9.5 naweza pata namba D?
 
Angalia tuu, usichukue yenye D-4 engine
Sio engine mbaya lakini mafundi wengi hawaziwezi.

Nashauri tafuta yenye Vvt- i kavu
 
Back
Top Bottom