Rav 4

Rav 4

jonathan18

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
201
Reaction score
94
Nataka kujua bei ya Rav 4 ya mwaka 1998 au 1999 na labda tofauti yake nini naomba wazoefu wa magari wanielezee please I'm interested to buy that particular type of a car...!!!

Regards,
Jonathan.
 
mkuu hizo gari hazina tofauti labda tofauti kwamba moja imetengenezwa 1998 na nyingine 1999 lakini kila kitu ni sawa nimewahi kuzimiliki zote na hadi leo bado ninayo,otherwise ni gari nzuri sana na ni imara hazisumbui
 
Bei yake.
 
Thank you na bei yake vip?

Regards,
Jonathan.
 
Dubai ni dola 4500 mpaka 6000 unapata
 
But kuagiza naskia pia kuclear ni usumbufu na inachukua muda ni kweli?

Regards,
Jonathan.

Sasa ulitaka ukiagiza gari japan leo kesho iwe imefika? Lazima itachukua muda watu wengi wananunua hapa kwa sababu ya mcheche(kieleele) wa kuwa na gari fasta kuvumilia wiki3 anaona nyingi na ndio hapo hapo anapigwa hata m3 na show room za hapa!! Kuagiza hyo rav4 mpka unaitoa ni kama 10m hv!!
 
Asante nimekuelewa inakuwa lakini kwenye condition nzuri?

Uzuri wa wa japan anakuwekea picha kama 30 hv na kama kuna hata kovu atakuwekea kwhyo utachagua gari unayoiopenda wewe na bajeti yako unayoweza
 
Sasa ulitaka ukiagiza gari japan leo kesho iwe imefika? Lazima itachukua muda watu wengi wananunua hapa kwa sababu ya mcheche(kieleele) wa kuwa na gari fasta kuvumilia wiki3 anaona nyingi na ndio hapo hapo anapigwa hata m3 na show room za hapa!! Kuagiza hyo rav4 mpka unaitoa ni kama 10m hv!!

Mkuu acha kumdanganya, huwezi kuagiza RAV4 kutoka japani mpaka unaitoa ikawa milioni 10, RAV4 ya 1999 ushuuru wa TRA ni around 5.8 milioni , kwa maana hiyo bei ya RAV4-1999 Mpaka kuweka barabarani bila Bima ni around 15.8 to 16 milioni, usidanganyike ukaagiza ukakwama bandarini kama bajeti yako ni ndogo mkuu.
 
Asante na mimi budget yangu ni million 10 tu..

Regards,
Jonathan.
 
Mkuu acha kumdanganya, huwezi kuagiza RAV4 kutoka japani mpaka unaitoa ikawa milioni 10, RAV4 ya 1999 ushuuru wa TRA ni around 5.8 milioni , kwa maana hiyo bei ya RAV4-1999 Mpaka kuweka barabarani bila Bima ni around 15.8 to 16 milioni, usidanganyike ukaagiza ukakwama bandarini kama bajeti yako ni ndogo mkuu.

Umetumia kikokoteo cha TRA wewe au ume guess tu? Hyo bei ya 16m labda ya mwaka 2003 au 2004 za 99 kuja chini bei yake ndio hio ikizidi sana 11 tena kama umechagua ya cif kubwa lakini ukiagiza za cif ndogo hadi 10 unaweka barabarani...wewe ndio unadanganya watu kama ingekuwa kuagiza ni 16 basi yadi zingekuwa zinauzwa 19m...
 
CHECK THIS

[TD="class: xl81, width: 631, colspan: 7"]Motor vehicle with more than 1000cc but not exceeding 2000cc (Aged more than 10 Years)[/TD]

[TD="class: xl81, width: 417, colspan: 3"]Example of vehicles: Toyota Mark II Model GX110, Toyota Corolla, Subaru forester, RAV4,Pajero Junior (io)[/TD]
[TD="class: xl86, colspan: 4"] [/TD]

[TD="class: xl81, width: 417, colspan: 3"]GUIDELINE SUBJECT TO VERIFICATION[/TD]

[TD="class: xl78, colspan: 2"]Current Retail Selling Price[/TD]
[TD="class: xl80"] 34,560 [/TD]

[TD="class: xl78, colspan: 2"]Depreciation[/TD]
[TD="class: xl76"]80%[/TD]

[TD="class: xl78, colspan: 2"]Freight[/TD]
[TD="class: xl70"] [/TD]

[TD="class: xl78, colspan: 2"]Customs value[/TD]
[TD="class: xl71"] 3,570 [/TD]

[TD="class: xl78, colspan: 2"]FOB Value[/TD]
[TD="class: xl71"] 3,570 [/TD]

[TD="class: xl78, colspan: 2"]Import Duty 25%[/TD]
[TD="class: xl72"] 893 [/TD]

[TD="class: xl84, width: 277, colspan: 2"]Excise Base for vehicle aged more than 10 years[/TD]
[TD="class: xl72"] 1,116 [/TD]

[TD="class: xl78"]Excise Base[/TD]
[TD="class: xl79"] [/TD]
[TD="class: xl72"] 4,463 [/TD]

[TD="class: xl78, colspan: 2"]Excise Duty 5%[/TD]
[TD="class: xl72"] 223 [/TD]

[TD="class: xl78, colspan: 2"]VAT Base[/TD]
[TD="class: xl72"] 5,802 [/TD]

[TD="class: xl78, colspan: 2"]VAT 18%[/TD]
[TD="class: xl72"] 1,044 [/TD]

[TD="class: xl78, colspan: 2"]Total Taxes[/TD]
[TD="class: xl73"] 3,276 [/TD]

[TD="class: xl78, colspan: 2"]Total Taxes in TSHs[/TD]
[TD="class: xl72"] - [/TD]
 
Note used car zinauzwa kulingana na ubora wa hali ambao zipo nao that means bei ya CIF inatofautiana kulingana na ubora wa gari, generally ukitaka RAV4 yenye ubora ya mwaka 1998 or 1999 ina range kati ya CIF ya dollar 4700 hadi 5500, so it is up to you unataka RAV4 iliyo na hali nzuri( bora) au just you need RAV4, Unaweza kupata RAV4 kwa CIF ya dollar 3500 but haiewzi kuwa sawa kiubora na ya CIF ya dollar 4800 0r 5200, take this from me my friend.
 
tuambiane ukweli ili nasi tumiliki magari poa mjini kwa bei halisi...ambaye anamiliki RAV 4 ya kuagiza atuambia ngoma kuagiza kutoka japan mpaka inatembea barabarani ni bei gani. tupeane ukweli maana hapa bongo wanatuliza kwa kukosa uzoefu wa ku import magari kutoka nje. ASANTE
 
Note used car zinauzwa kulingana na ubora wa hali ambao zipo nao that means bei ya CIF inatofautiana kulingana na ubora wa gari, generally ukitaka RAV4 yenye ubora ya mwaka 1998 or 1999 ina range kati ya CIF ya dollar 4700 hadi 5500, so it is up to you unataka RAV4 iliyo na hali nzuri( bora) au just you need RAV4, Unaweza kupata RAV4 kwa CIF ya dollar 3500 but haiewzi kuwa sawa kiubora na ya CIF ya dollar 4800 0r 5200, take this from me my friend.

Mkubwa kwa kodi za tra sina tatizo nazo,shida ipo kwenye hyo cif,ukienda tradecarview rav4 zipo hadi za cif ya 3000usd na zipo katika hali nzuri! Hizi tunazonunua kwa showroom zetu huku bongo ni zile za grade ya chini kabisa wakifika huku ndio wanarekebisha makosa na wanauzia watu kwa bei juu.....
 
Asante nimekuelewa inakuwa lakini kwenye condition nzuri?

Regards,
Jonathan.

Agiza toka Japan, inakuwa haijachezewa. Zilizonyingi za showroom mimi siziamini kabisa, zinakuwa zimechezewa sana. Inaweza kuwa million12 hivi hadi inatembea barabarani, wakati showroom ni millioni15-17.
 
Nataka kujua bei ya Rav 4 ya mwaka 1998 au 1999 na labda tofauti yake nini naomba wazoefu wa magari wanielezee please I'm interested to buy that particular type of a car...!!!

Regards,
Jonathan.

i mic you ukinunua unipakize bas
 
Back
Top Bottom