RAV 4 old model inahitajika

RAV 4 old model inahitajika

onyx

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2016
Posts
1,587
Reaction score
1,317
Wakuu heshima zenu,

RAV 4 old model,
Sifa
Namba=B/C
Rangi=Blue/Red/Black/Dark blue/ kwa ufupi isiwe nyeupe au silver
Mengine majadiliano, bei isizidi 7m

Nawasilisha
 
Ni PM nikuuzie Rav4 Old Model namba AZ.
Iko vizuri full AC, rangi black na uje ukague na fundi wako!
Namba A hapana mkuu. Hizo zipo nyingi nshazikataa, na bei ni ndogo ya hapo
 
Wakuu heshima zenu,

RAV 4 old model,
Sifa
Namba=B/C
Rangi=Blue/Red/Black/Dark blue/ kwa ufupi isiwe nyeupe au silver
Mengine majadiliano, bei isizidi 7m

Nawasilisha
Ukitaka kuagiza gari kutoka nje ya nchi kodi zimepanda sana pale bandalini, ninayo hio gari, namba C, ni Blue..nipe 8.5 nikuachie
 
Ukitaka kuagiza gari kutoka nje ya nchi kodi zimepanda sana pale bandalini, ninayo hio gari, namba C, ni Blue..nipe 8.5 nikuachie
Mkuu asante sana; bajeti yangu hainiruhusu.Kama utaafiki; nipm
 
Ipo short chases namb b haijarudiwa rang nichek 0718017711
 
Nadhani hakuelewa hitaji lako
Kabisaaa mkuu, wengine hatuna huo uwezo wakuagiza za japani maana hela nyingi sana na kwa Rav 4 inaweza zidi 20 m, zina bei sana
 
Mimi nina namba A, ofa ni nzuri tuu ni pm if interested. Gari inatembea na iko gado.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom