Raum new model

Bhbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
714
Reaction score
210
Wakuu naomba kujuzwa kwa wale wazoefu, hii gari RAUMU new model ikoje? Kwa maana ya ubora wake, ukilinganisha na RAUM old model na nyinginezo. Asanteni na karibuni kwa maoni na michango.
 
new model raum haina tofauti sana kwenye engne kulninganisha na arum old model(Toyota corolla raum),isipokuwa body yake ni mayai na imeongezeka vitu vichache tu vya luxuries
 
Wakuu Pono na Luginyo nawashukuru sana kwa mchango wenu muhimu wa kunielimisha.
 
Mkuu Pono body yake mayai kwa maana ya shape au body laini sana? Wewe kwa ipande wako ungeopt ipi?
 
New model ni nzuri kwa mwonekano na pia iko latest na wamejitahidi kuondoa zile weakness zilizokuwa kwenye old model na kuifanya ipendeze na kwenda na wakati body sio issue maana hata land Cruiser V8 body yake ni laini tu lakini ndio wanatumia mawaziri na wakuu wote wa nchi hii mambo ya kuangalia body ilikuwa zamani sio dunia ya leo
 
Mkuu Funzadume nakushukuru sana kwa mchango wako mzuri.
 
Mkuu_ukipenda mchango wa mtu uwe unatoa 'like' basi,...naona una like receive 154..lakini za kuto zero....!!!!!!!!???????????

Mkuu Igwe natumia simu that's why nashindwa kutoa like siyo kwamba nabana lol
 
Ninayo raum old, inapiga mzigo balaa, rafiki yangu anayo new, yap iko vema bodi na additional features, ila mayai, inategemea tu wewe unapenda ipi, kisasa zaidi au la! As for me i know my test i opt for old raum!
 
Ninayo raum old, inapiga mzigo balaa, rafiki yangu anayo new, yap iko vema bodi na additional features, ila mayai, inategemea tu wewe unapenda ipi, kisasa zaidi au la! As for me i know my test i opt for old raum!
Mkuu IPILIMO nakushukuru sana kwa maelezo yaliyonyooka.
 

Mkuu yoote 9, kumi ni jina lako tu ndio limenivutia funzadume
 
Last edited by a moderator:
Achana na old model kijana, gari unataka uzeeke nayo? Huo ushauri wa kutafuta old model kwa sababu ya bodi kwani una ratiba ya kugongana na gari ingine?

Wanaokushauri old model ukute ndio wale remote ya tv inafungwa kwenye karatasi hadi tv inazeeka remote bado mpya
 

Toyota Raum 2006 Model Toyota Raum 2003 Model Toyota Raum 2003 Model
second generation second generation first generation

[TABLE="class: infobox hproduct, width: 22"]
[TR]
[TH="bgcolor: #C0C0C0, colspan: 2, align: center"]Overview - First generation[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Production[/TH]
[TD]May 1997–April 2003[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #C0C0C0, colspan: 2, align: center"]Powertrain[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Engine[/TH]
[TD]1.5 L 5E-FE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Transmission[/TH]
[TD]Automatic[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #C0C0C0, colspan: 2, align: center"]Dimensions[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Length[/TH]
[TD]4,025 mm (158.5 in)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Width[/TH]
[TD]1,685 mm (66.3 in)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Height[/TH]
[TD]1,590 mm (63 in)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Curb weight[/TH]
[TD]1,100 kg (2,400 lb)

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: infobox hproduct, width: 22"]
[TR]
[TH="bgcolor: #C0C0C0, colspan: 2, align: center"]Overview - Second Generation[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Manufacturer[/TH]
[TD="class: brand"]Central Motors Headquarters Plant[SUP][1][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Production[/TH]
[TD]May 2003–2011[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #C0C0C0, colspan: 2, align: center"]Powertrain[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Engine[/TH]
[TD]1.5 L 1NZ-FE VVT-i[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Transmission[/TH]
[TD]Automatic (Super-ECT)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #C0C0C0, colspan: 2, align: center"]Dimensions[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Length[/TH]
[TD]4,045 mm (159.3 in)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Width[/TH]
[TD]1,690 mm (67 in)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Height[/TH]
[TD]1,545 mm (60.8 in)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Curb weight[/TH]
[TD]1,150 kg (2,540 lb)

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kwa ufupi hazina tofauti kubwa sana, ila Second generation yaani za mwaka 2003
hadi 2006 zina muonekano mzuri wa kuvutia. Pia zimeboreshwa zaidi kwa ndani
ziko super sana.
The Toyota Raum is a small, five-seat mini MPV that first appeared in May 1997. The second generation was released in May 2003. It is currently sold only in Japan at Toyota Netz retail sales channels.
"The vehicle's name is German for chamber, berth, room, space, expanse, scope, area, or sphere and attempts to emphasize the vast amount of space it contains relative to its size. This is because the front doors on both the driver and passenger sides open conventionally, but the rear doors slide open rearward and attach to the top and bottom of the door openings and interlock to the front doors. The Raum uses a similar door approach also used on the first generation Mitsubishi RVR/Space Runner."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…