Ratio ya mtoto wa kike na kiume

Ratio ya mtoto wa kike na kiume

Smallfish

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2012
Posts
241
Reaction score
66
Naomba wataalamu, wazoefu, wenye mbinu bila kusahau wenye imani zote wanijuze namna ya kupata mtoto wa kike na wakiume katika ratio sawa kwenye ndoa.Nathamini jinsia zote ila napenda mchanganyiko au family gender balance
 
Omba Mungu wako acha kutanguliza sana akili zako na za watu tu.
 

mungu ndio kila kitu
kwa binadamu sidhani kama
ni rahisi endapo mungu hajapanga hivyo!
 
Back
Top Bottom