Ratiba yangu ya tarehe 25 october.

Ratiba yangu ya tarehe 25 october.

Hahahahaha.... Mkeo umemsahau, bao ngapi za hasira kabla ya kuondoka.
Maana unaweza ukajikuta nawe hurudi umegeuka jivu.
 
Duh! CCM wasipoondoka tena, bora tupambane tu! Hakuna haja ya kuendelea kuishi chini ya utawala dhalimu kama huu!
 
Bora arudi mkoloni wasipotoka ccm
Hakika! Wananchi wazalendo tumeungana pamoja kuhakikisha haya mataka taka hayatoboi tena, na hakika lengo hilo litafanikiwa tu!
Nyakati hizi ni zile ambazo jambazi anavamia nyumbani kwako na bunduki, anavunja mlango, anaiba kichinjio tu, na kutokomea nacho, CCM wamekamatwa pabaya!
 
ili kupata hasira zaidi na propose siku nzima ya jumamosi usile chochote na uamkie jumapili ukiwa na njaa halafu ndo utie hiyo juice ya ukwaju. yaani ukifika kwenye kupiga kura unachinja mpaka machozi yanakutoka

Umekuwa mganga wa kienyeji siku hizi?
 
Wee acha tuu, mimi majuzi almanusura tutoane roho kichinjio changu hakionekani ndani wakati vitambulisho vingine vyoooote vipo.

Daaah, kumbe nilisahau kuna siku nilichukua nilikuwa naenda sehemu fulani nikajua itahitajika. Niliporudi nikasahau kuurudisha ndani, sasa akili yote inawaza iko ndani kumbe iko kwenye droo ya gari. Isingepatikana ndoa ingevunjika aisee
 
Ratiba yangu ya oktoba 25

1. Naamka mapema sana
2.nakunywa juice ya ukwaju kupata hasira
3.naangalia picha kadhaa za wamama wamelala zahanati wanne wanne
4.naangalia picha ya mwangosi
5.nakunywa tena juice ya ukwaju
6.nachukua kikatio
7.nachukua bic zangu mpya nne (mbili za bluu na mbili nyeusi)
8.nachukua mathematical set (mkebe) mpya
9.nachukua kitabu cha ilani ya ukawa na katiba ya nchi, simu ful charge, vocha za kutosha, power bank (vya kupitishia masaa)
10.nachukua dumu kubwa la maji ya kunywa yaliyochemchwa vizuri na mfuko wa mihogo ya kuchemsha na kipande cha plastic au mkeka
11.narudia tena hatua ya 3 hadi 5
12.naelekea machinjioni

Mkuu umenipa raha naomba Sana na Mimi niibe hii timetable yako
 
Ratiba yangu ya oktoba 25

1. Naamka mapema sana
2.nakunywa juice ya ukwaju kupata hasira
3.naangalia picha kadhaa za wamama wamelala zahanati wanne wanne
4.naangalia picha ya mwangosi
5.nakunywa tena juice ya ukwaju
6.nachukua kikatio
7.nachukua bic zangu mpya nne (mbili za bluu na mbili nyeusi)
8.nachukua mathematical set (mkebe) mpya
9.nachukua kitabu cha ilani ya ukawa na katiba ya nchi, simu ful charge, vocha za kutosha, power bank (vya kupitishia masaa)
10.nachukua dumu kubwa la maji ya kunywa yaliyochemchwa vizuri na mfuko wa mihogo ya kuchemsha na kipande cha plastic au mkeka
11.narudia tena hatua ya 3 hadi 5
12.naelekea machinjioni

Haahaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
eti " machinjioni" aka vingunguti,,
 
Hahahaaaa JF raha sana.
Mimi nitaamka Alfajr niwahi kituoni kupiga kura baada ya hapo nitatafuta sehemu iliyotulia nikapumzishe akili huku nikifuatilia updates.
 
siku hiyo mapema saa 10 alfajiri najiandaa, by saa 10:30 naanza mojamoja, baada ya kuvote narudi ghetto natulia kimya
 
Aise hii mada imekaa kikomedi zaidi lakini kuna watu wataunga mkono.manake ukiwa unaenda machinjioni lazima sura yako pia ikae kichinjaji
 
I will officially be a year older on that date, man. So, I definitely will be somewhere meditating on that.
 
Back
Top Bottom