SAMORE
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 409
- 577
Ratiba yangu ya oktoba 25:
1. Naamka mapema sana
2.nakunywa juice ya ukwaju kupata hasira
3.naangalia picha kadhaa za wamama wamelala zahanati wanne wanne
4.naangalia picha ya mwangosi
5.nakunywa tena juice ya ukwaju
6.nachukua kikatio
7.nachukua bic zangu mpya nne (mbili za bluu na mbili nyeusi)
8.nachukua mathematical set (mkebe) mpya
9.narudia tena hatua ya 3 hadi 5
10.naelekea machinjioni