Nafikiri kuna haja ya kujua ratiba ya migomo ya vyuo na mashirika hapa bongo ili members wajiandae.
Tarehe 10/2/2011 - Hospitali ya bugando - kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 7 mchana - washiriki wagonjwa na manesi
Tarehe 11/2/2011 - Chuo cha IFM kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 8 mchana - washiriki walimu, wazazi na wanafunzi