Ratiba ya kufunga na kufungua

Ratiba ya kufunga na kufungua

The Lady

Member
Joined
May 22, 2010
Posts
53
Reaction score
0
Wadau naomba mnisaidie kama kuna mwenye ile ratiba inayoonesha muda wa kufunga na kufungua katika mwezi wa ramadhani naomba anisaidie please.
 
Unaomba ratiba wewe upo nchi ipi?
 
mie simo ila ninavyofanya mimi, nakula daku saa nane hadi tisa usiku kisha futari saa moja usiku wa siku hiohiyo moja
 
nipo dar, muda wa futari nasikiliza adhana ila muda wa mwisho kula daku ndo napata taabu
 
Ni jambo la msingi tunaomba mwenye nayo atuwekee hapa.
 
Wadau naomba mnisaidie kama kuna mwenye ile ratiba inayoonesha muda wa kufunga na kufungua katika mwezi wa ramadhani naomba anisaidie please.

right thing at tne wrong place and time...
 
Wadau naomba mnisaidie kama kuna mwenye ile ratiba inayoonesha muda wa kufunga na kufungua katika mwezi wa ramadhani naomba anisaidie please.

Hivi swaumu unakazia na nn?
 
Back
Top Bottom