Ratiba ya Kiume (Daily Discipline)

story love

Member
Joined
Nov 24, 2025
Posts
7
Reaction score
13
πŸ•” 5:00 – 6:00 AM – Amka mapema
  • Salat (kama unaswali)
  • Omba au tafakari
  • Tengeneza kitanda
  • Maji ya uvuguvugu, limao au mazoezi ya kuvuta pumzi

πŸ•• 6:00 – 7:00 AM – Mazoezi ya mwili
  • Cardio / Pushups / Jogging
  • Stretching
  • Kuoga baridi (inaongeza testosterone)

πŸ•– 7:00 – 8:00 AM – Chakula cha asubuhi + kupanga siku
  • Kula afya: protini + matunda
  • Andika mambo muhimu kufanya siku hiyo (goals 3 kuu)

πŸ•— 8:00 – 12:00 PM – Kazi / Shughuli zako
  • Fanya kwa bidii na kimya
  • Usipoteze muda na simu / story zisizo na faida

πŸ•› 12:00 – 1:00 PM – Mlo wa mchana + pumziko
  • Muda wa kula + kuswali / kutulia
  • Soma kitu cha kujenga akili (5–10 pages)

πŸ• 1:00 – 5:00 PM – Endelea na kazi / mipango
  • Wekeza muda wako kwenye kitu cha maana
  • Epuka gossip / drama

πŸ•” 5:00 – 7:00 PM – Tiba ya mwili & akili
  • Mazoezi ya jioni / meditation / kutembea
  • Muda mdogo na familia / wapendwa

πŸ•– 7:00 – 9:00 PM – Chakula cha usiku + reflection
  • Kula mapema
  • Kagua malengo ya siku
  • Soma / tafakari / dua

πŸ•˜ 9:00 – 10:00 PM – Jitulize kabla ya kulala
  • Hakuna simu au screen
  • Funga siku kwa utulivu
  • Lala mapema (for 6–8 hrs)
Kanuni za Kiume (Extra Discipline):
  • Usilalamike, tafuta suluhisho
  • Kuwa na neno moja – usiwe mtu wa kusema uongo
  • Jiheshimu, jihifadhi
  • Jifunze kila siku
  • Epuka kelele – kiume halilia kwa sauti, anatulia na kupambana πŸ’ͺ🏾
 
Hiyo ratiba ni kwa mtu aliyejiajiri au jobless kwa mwajiriwa haitekelezeki
 
Huo muda wa saa kumi na moja ni kugombania daladala za homboza to masaki mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…