Rastafarian wetu na Kahawa Chato

Rastafarian wetu na Kahawa Chato

Course Coordinator

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2019
Posts
1,738
Reaction score
3,236
IMG_20200330_105553.jpg
 
Rais hata afanye nini ulinzi kwake ni lazima,kilichopo hapo ni wakinzi kuact kukingana na mazingira husika. Yaani kwa sababu raisi yupo kijiweni ndio aende kibwege!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo anajionesha kwamba anajichanganya na raia wazalendo, kumbe aliokaa nao 80% ni usalama. JK ndio alikuwa bingwa wa kujichanganya na maraia kitaa.
 
Yaani ufipa sijui Wana laana gani yaani hata ulinzi wa raisi unawakera duh hii kali
 
Tatizo anajionesha kwamba anajichanganya na raia wazalendo, kumbe aliokaa nao 80% ni usalama. JK ndio alikuwa bingwa wa kujichanganya na maraia kitaa.

Huyo Jk mlivyokuwa mnamnanga humu, Kweli nyie mu mabingwa wa kuchafua na kutakasa!
 
Huyo Jk mlivyokuwa mnamnanga humu, Kweli nyie mu mabingwa wa kuchafua na kutakasa!
Kila mtu ana mazuri yake na mapungufu yake. Wala sio dhambi kusema, ila ukiamua kusimamia upande mmoja na kujifanya huyaoni ya upande wapili, hapo ndio shida.
 
Tatizo anajionesha kwamba anajichanganya na raia wazalendo, kumbe aliokaa nao 80% ni usalama. JK ndio alikuwa bingwa wa kujichanganya na maraia kitaa.
ulithibitishaje kama walikuwa maraia tu!!!au unadhani anajipangia!!!!.

kwa taarifa yako rais hata aombe privacy ya namna gani lazima watu wacheze karibu,maana kuna watu wanalipwa kwa kazi hiyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom