Rastafarian Queen

Kitu mmea original ndio hii. Huyo mwingine mdosho tu.
 
Demu namba Nane ananichanganya...

Kutoka Moyoni nasema nampenda sana...

Hebu piga hilo Gitaa MAJANI zaidi ya SANTANA...

Ili na mimi nimuwinde MAMAAA...
 
Ananiuliza umepata Demu, namwambia sina...

Anahisi ashaniona sehemu tatizo kansahau jina...

Unaitwa nani... "FID Q"

Unaishi wapi... "GETO"

Kazi yako ni ipi... "MZIKI" "Au sio"

Mdomo unakuwa mzito niongee kipi cha maana...

Kivipi nimkazie Jicho wakati Binti kasimama...

Au ujiko Mrembo ujiko vipi sitaki kujuana...

Na hivi usinizingue kihivyo mie simwachi huyu Kimwana...

Anaonesha, hana maringo lakini alishawahi kupima...

Ameshaathirika kimtindo Mchizi kipingamizi sina...

Yupo Shkoba yuko Sharo Tina Tina...

Yupo Fulu, hoi kama wasemavyo Watu wazima...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…