Rasmi sasa fainali ya klabu bingwa Afrika Kurudiwa huko Misri mwezi Julai

Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,317
2,019
Naona CUF wamesanda mbele ya mashabiki ulimwenguni na kuamua fainali kati Esperence na Wydad Casablanca iludiwe uko Misri mwezi July baada ya michuano ya kombe la mataifa Afrika kuisha.

Mechi hyo itachezeshwa na refa Kutoka bara la ulaya baada ya yule aliyechezesha fainali ya kwanza kubolonga.
 
Esperance wamegoma hiyo mechi haiwezi kurudiwa kwa sababu first leg haikuchezwa neutral ground wanaenda mahakamani.

au CAF wairudie mechi moja tu wafute matokeo ya awali yote
 
Esperance wamegoma hiyo mechi haiwezi kurudiwa kwa sababu first leg haikuchezwa neutral ground wanaenda mahakamani.

au CAF wairudie mechi moja tu wafute matokeo ya awali yote
Ndo walivyo amua mechi itachezwa moja tu matokeo ya mechi zote mbili za awali yamefutwa.
 
Ndo walivyo amua mechi itachezwa moja tu matokeo ya mechi zote mbili za awali yamefutwa.
Hii ndo safi sana,sijui kwa nini uwa kuna fainali mbili! Inashawishi kupanga matokeo

Afrika kila kitu vuruvuru
 
Africa hua tunaamin tiba n Bora kuliko
Kinga ,,,,,,,,hata tunavoitwa nyani Wala
Hawakosei
 
Yaani inabidi FIFA ndiyo isimamie hii michuano ya CAF halafu ofisi za makao makuu ya shirikisho ya mpira Afrika, CAF wahamie Afrika ya Kusini maana huko Misri huwa inaonekana wanapanga matokeo.
Kabisa, Afrika Kusini hawajui upendeleo ukichunguza ingawa changamoto ni kale kaubaguzi dhidi ya waafrika wenzao
 
Yaani inabidi FIFA ndiyo isimamie hii michuano ya CAF halafu ofisi za makao makuu ya shirikisho ya mpira Afrika, CAF wahamie Afrika ya Kusini maana huko Misri huwa inaonekana wanapanga matokeo.
Kweli kabisa, hata mpango wa kucheza mechi mbili za fainali ni mbinu za kuwabeba waarabu
 
Refa kwani alikuwa anakosa gani kwenye ile mechi? Au amekuwa mbuzi wa kafara tu.
.
Refa alikuwa anauwezo wa kuzuia VAR isifanyekazi?
 
Back
Top Bottom