Kwa mara nyingine tunaelekea kuona zaidi ya watu 50,000 wanaenda kupoteza ajira baada ya serikali kupitia SUMATRA kutoa waraka wa kuzuia mizigo yote inayoingia bandarini kubaki hapo tofauti na awali ambapo mteja alikuwa anaweza kuamua container yake akaitolee Icd atakayochagua.
Waraka huo ambao umetolewa tarehe 10, 2016 unaelekeza amri hiyo imeanza kutekelezwa tangu tarehe 7/10/16.
Kwa uamuzi huo wa serikali maana yake sasa zile ICD zote zitabaki bila kazi na kupelekea wafanyakazi karibu wote kupoteza ajira.
uweke basii...Nauweka mkuu
Wenye ICDs wataisoma namba na wale wezi wa containers or contents za containers wataisoma namba.!Mi napita maana huu mfupa da……
Mi huwa najiuliza; hivi kuna siku tutasikia hotuba isiyo na malalamiko na lawama tka kwa mkuu kwenda wateule wake na mkuu wa awamu iliyopita?Uongozi ni kipaji sio mazoezi ya majukwaani.
50000 tu? Mi nilifikili labda watu million 3 wamekosa ajira.Kwa mara nyingine tunaelekea kuona zaidi ya watu 50,000 wanaenda kupoteza ajira baada ya serikali kupitia SUMATRA kutoa waraka wa kuzuia mizigo yote inayoingia bandarini kubaki hapo tofauti na awali ambapo mteja alikuwa anaweza kuamua container yake akaitolee Icd atakayochagua.
Waraka huo ambao umetolewa tarehe 10, 2016 unaelekeza amri hiyo imeanza kutekelezwa tangu tarehe 7/10/16.
Kwa uamuzi huo wa serikali maana yake sasa zile ICD zote zitabaki bila kazi na kupelekea wafanyakazi karibu wote kupoteza ajira.
Mkuu,hii imekula kwetu.Mi huwa najiuliza; hivi kuna siku tutasikia hotuba isiyo na malalamiko na lawama tka kwa mkuu kwenda wateule wake na mkuu wa awamu iliyopita?
Hivi haiwezekani mkuu kufanya kazi kwa weledi bila hata kwenda kumwaga hasira kwenye majukwaa?
Hivi haiwezekani kufanya kazi bila kuhitaji kushangiliwa?
Mwaka unawisha kwa kusikia mihadhara yenye mihemuko na lawama zaidi kuliko maneno chanya ya kuleta hamasa bila ku-inculcate nidhamu ya woga kwa watumishi.
Just thinking aloud!
Kwanini uwe na nyumba yenye nafasi halafu mpangaji anayetafuta nyumba ya kupanga unamtafutia nyumba nyingine. Kama kuna nafasi bandarini hakuna haja ya kuhamisha mizigo kwenda ICDKwa mara nyingine tunaelekea kuona zaidi ya watu 50,000 wanaenda kupoteza ajira baada ya serikali kupitia SUMATRA kutoa waraka wa kuzuia mizigo yote inayoingia bandarini kubaki hapo tofauti na awali ambapo mteja alikuwa anaweza kuamua container yake akaitolee Icd atakayochagua.
Waraka huo ambao umetolewa tarehe 10, 2016 unaelekeza amri hiyo imeanza kutekelezwa tangu tarehe 7/10/16.
Kwa uamuzi huo wa serikali maana yake sasa zile ICD zote zitabaki bila kazi na kupelekea wafanyakazi karibu wote kupoteza ajira.
Tena imekula kwetu kupita maelezo. Kilichobaki kuvumilia maumivu mpaka tutakapopata fursa ya kufanya mabadiliko!Mkuu,hii imekula kwetu.