Rasmi nimeamua kumwacha

Wakuu habari ya jioni, kama mnakumbuka wiki chache nyuma nilileta uzi hapa jukwaani kuhusu mahusiano nilonayo na aliyekuwa mpenzi wangu baada ya kushindwa vituko vyake nimeamua sasa kumtamkia maisha mema japo inauma lakini sometimes lazima kuacha kung'ang'ania sehemu ambayo hupendwi
Vip mkuu....hakwenda na figo yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umefanya maamuzi ya busara sana.
Yanini kukosa furaha na amani kisa mapenzi!
 
Back
Top Bottom