Wewe jinsia gani mkuu?Mapenzi ya siku hizi magumu aisee.
Kwanini?Wewe jinsia gani mkuu?
Kama wa jinsia ke karibu tuyajenge mapenzi sio magumu labda target [emoji457] zako ulilenga sikoWewe jinsia gani mkuu?
Maana yake?Kweli wanasemaga vileke vizende vindi viloza hata babu aliniambia
Ni kweli wa ukaeKweli wanasemaga vileke vizende vindi viloza hata babu aliniambia