PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,439
Reaction score
6,692
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo kesi ya msingi iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA itakaposikilizwa

Jaji Hamidu Mwanga anayesikiliza kesi hiyo namba 8323/2025 amesema zuio hilo la muda linakuja kufuatia maombi yaliyowasilishwa Mahakamani hapo na Mawakili wa waleta maombi wakiongozwa na Wakili Gido Thomas Simfukwe ambao waliiomba Mahakama kuweka zuio hilo hadi kesi ya msingi inayoanza kusikilizwa Juni 24.2025 isikilizwe, ambapo kwenye kesi ya msingi waleta maombi wanadai kuwa CHADEMA imekuwa ikiitenga Zanzibar katika masuala mbalimbali ikiwemo mgawanyo wa raslimali fedha nk

Akitangaza uamuzi huo, Jaji Mwanga amesema suala hilo ni la kisheria na haliitaji ubishani kwa sababu limefafanuliwa vyema kwenye sheria ya vyama vya siasa,

Wakati maamuzi hayo yanatolewa, upande wa utetezi (CHADEMA) haukuwa na mwakilishi yeyote Mahakamani, hiyo ni baada ya aliyekuwa Wakili wake Jebra Kambole kutangaza kujiondoa kwenye shauri hilo hatua iliyopelekea Mahakama kuendesha kesi kwa upande mmoja,

Kwa muktadha huo, ni wazi sasa shughuli za kisiasa za ndani (kiutendaji) na za oparesheni kama vile mikutano ya hadhara, vikao vya CHADEMA, vimezuiliwa kwa muda.

said mohamed.jpg

Hii ndio picha ya Hakimu wa Mahakama Kuu Hamidu Mwanga aliyetoa uamuzi wa kuipiga CHADEMA marufuku

jaji.jpeg

Source: Jambo TV
 
Waislamu sikuzote utumika kipumbavu .....😁😁 ni hatari nchi kuongozwa na waislamu hakuna tofauti kubwa baina ya muislamu na mwanamke kwenye mambo ya uongozi ....siku zote wanawake na waislamu huwa awana uzalendo
 
Jaji wa Mahakama Kuu, Hamidu Mwanga ametoa uamuzi mdogo katika kesi namba 8323 ya mwaka 2025 iliyofunguliwa na Said Issa Mohamed na wenzake wawili, akikitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kusitisha shughuli zake kwa siku 14.

Uamuzi huo umetolewa leo Juni 10, 2025 baada ya Jaji Mwanga kusikiliza mawaili wa pande mbili kabla ya wakili wa CHADEMA, Jebra Kambole kujitoa na kuacha mawiki wa upande mmoja.

Taarifa iliyotolewa na CHADEMA leo imesema Kambole alijitoa na kuitaka Mahakama iahirishe kesi mpaka Chama kitakapopata wakili wa wengine.

Hata hivyo, Jaji Mwanga alikataa ombi hilo na kuendelea na kesi, akiwa na mawakili wa upande wa waleta maombi pekee bila uwepo wa mawakili wa upande wa utetezi.

“Wakili Jebra Kambole aliamua kujiondoa baada ya kuona jaji amekuwa na upande na alikuwa akizikataa hoja zake za msingi kwa maslahi ya mteja wake ambaye ni Chadema.”
 
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo kesi ya msingi iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA itakaposikilizwa

Jaji Hamidu Mwanga anayesikiliza kesi hiyo namba 8323/2025 amesema zuio hilo la muda linakuja kufuatia maombi yaliyowasilishwa Mahakamani hapo na Mawakili wa waleta maombi wakiongozwa na Wakili Gido Thomas Simfukwe ambao waliiomba Mahakama kuweka zuio hilo hadi kesi ya msingi inayoanza kusikilizwa Juni 24.2025 isikilizwe, ambapo kwenye kesi ya msingi waleta maombi wanadai kuwa CHADEMA imekuwa ikiitenga Zanzibar katika masuala mbalimbali ikiwemo mgawanyo wa raslimali fedha nk

Akitangaza uamuzi huo, Jaji Mwanga amesema suala hilo ni la kisheria na haliitaji ubishani kwa sababu limefafanuliwa vyema kwenye sheria ya vyama vya siasa,

Wakati maamuzi hayo yanatolewa, upande wa utetezi (CHADEMA) haukuwa na mwakilishi yeyote Mahakamani, hiyo ni baada ya aliyekuwa Wakili wake Jebra Kambole kutangaza kujiondoa kwenye shauri hilo hatua iliyopelekea Mahakama kuendesha kesi kwa upande mmoja,

Kwa muktadha huo, ni wazi sasa shughuli za kisiasa za ndani (kiutendaji) na za oparesheni kama vile mikutano ya hadhara, vikao vya CHADEMA, vimezuiliwa kwa muda.
Madhara ya kutenda kwa mihemko, badala ya akili.
 
Saa tonetone itakuaje? 😆😆👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DKuJw3PtCeW/?igsh=MWZ3ZDd1MnoyOTk3dw==
 
Back
Top Bottom