Rasmi Jonathan sowah atambulishwa Simba sc

Rasmi Jonathan sowah atambulishwa Simba sc


Simba SC imeendelea na utambulisho wa usajili wa wachezaji wapya ambapo hii leo wamemtambulisha aliyekuwa mshambuliaji wa zamani wq Singida Black Stars Jonathan Sowah.

Sajili zilizotiki hadi sasa
Rushne
Kante
Abraham
Semfuko
Sowah
 
🎶
"Ni gheto langu tu,
Linalowachengua maduu,
Linaloniweka kwenye chati za juu,
Kijitonyama mpaka East Zoo."
🎶
 
Back
Top Bottom