Rasmi CHADEMA ndio chama chenye msimamo sana

A polite reminder !

Prominent Tanzanian lawyer and the advocate of high court Fatuma Karume who was among th major critics of Magufuli ,was strucked off in the roll of advocates in a move that was ochestrated by the CCM fanatics.

Isaiah 10:1

"Woe to those who make unjust laws , to those who issue oppresive decrees to deprive the poor of their rights and withhold justice from the poor , making widows their prey and robbint the fatherless"
 
Sidhani kama kuna wa kukupinga kwenye hili uliloliweka hapa. Huu ndiyo ukweli wa wazi kabisa ingawa ni mchungu kwa baadhi ya watu.
 
Siasa ni SAYANSI!Katika sakata hili la Mbowe,mshindi ni serikali kwa sababu malengo ya kumzuia Mbowe kuichanganya serikali mpya ya Samia mara tu baada ya kuipokea kutoka kwa marehemu Magu,yalifanikiwa.Miezi takribani 9 aliyokaa Mbowe mahabusu ilitosha kabisa kwa serikalini mpya kujiweka sawa katika majukumu yake bila ya presha ya upinzani. Hakika CCM wanajua namna sahihi ya kudili na presha za upinzani kiintelijensia zaidi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo lipo wazi na ndiyo maana watawala wanaichukia sana cdm.

Kina Mwafulani watakuwa wapo mdalani wanaharisha sasa hivi.
Hivi wale waliomtamkia kuwa "safari hii huchomoki" wako wapi na wanajisikiaje baada ya uwamuzi wa Mahakama???
 
Walimuomba msamaha DPP ili afute kesi?

Wewe uko tandale cjui uchagani huko kulikojaa walevi dahh mnachekesha sana 😁


Mshukuruni sana mama samia, mzanzibari, ana imani na huruma kwa wananchi wake.

Chadema ni UTI, haitatokea itawale.
 
Kuna watu wanalala na viatu Leo
Mungu Huyu
Zambarau mmeingiwa na woga
Mbowe anaipenda Tz kuliko nafsi yake wengine ni magumashi
Zambarau acheni udini mtawin lakini kwa udini wenu hamfiki mbali
Kazi na iendelee
 
Gaidi la Nchi limeingia Ikulu
 
Kuna watu wanalala na viatu Leo
Mungu Huyu
Zambarau mmeingiwa na woga
Mbowe anaipenda Tz kuliko nafsi yake wengine ni magumashi
Zambarau acheni udini mtawin lakini kwa udini wenu hamfiki mbali
Kazi na iendelee
Hahahaaa Gaidi kubwa laingia ikulu.

Teama ccm roho mbaya na zambarau wanafiki leo za uso hizi watalazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…