Legacy adhimu & adimu & azizi ya JPM haifutiki hata kwa bleach ya concentrated sulphuric acid. Sanasana wanatusaidia kujua kwamba kumbe juhudi za miaka mitano zilikuwa solely za Magu mwenyewe. Almost wengine wooooote walikuwa wakunja-mikono na wapinzani wa ndani kwa ndani.
Legacy adhimu & adimu & azizi ya JPM haifutiki hata kwa bleach ya concentrated sulphuric acid. Sanasana wanatusaidia kujua kwamba kumbe juhudi za miaka mitano zilikuwa solely za Magu pekee. Almost wengine wooooote walikuwa wakunja mikono.

Safi sana Mama! legacy wakati wengine walibaguliwa sana nchi hii walionekana kana kwamba siyo Watanzania, ukanda,ukabila na undugu ndiyo ulishamili nchii. Wengine tulikuwa kama siyo watanzania
Legacy adhimu & adimu & azizi ya JPM haifutiki hata kwa bleach ya concentrated sulphuric acid. Sanasana wanatusaidia kujua kwamba kumbe juhudi za miaka mitano zilikuwa solely za Magu pekee. Almost wengine wooooote walikuwa wakunja mikono.
Kwasababu na yeye anatakiwa atengeneze ya kwake, huwez kuiga maisha ya mtu mwngine ili kufurahisha watu. Na yeye anatengeneza Legacy yake kwa Awamu yake ya Sita