RASMI: Baada ya Lyon kuiondoa Manchester City. Nusu fainali ya Bayern Vs Lyon

Kiwango bora lakini si wapishane na wajumbe (Bavarian). Hao jamaa kila idara wapo vyema mchakamchaka wa dakika zote 90 wanaweza, pasi mpenyezo ndiyo kabisa., Uchap wa ku recovery tena rahisi Sana kwao kusahihisha makosa yao papo kwa papo. Speed zikienda pamoja na mbinu ndy usiseme...
Wanacho kufanya Bayern ni kutwaa umiliki wa Mpira muda wote,farsafa ya ushindi katika football lazma uhakikishe unamiliki mpira muda mwingi hii itawaathiri wapinzani wako na kuwafunga kirahisi ndicho wanachofanya Bayern
Kumiliki mpira 75%
Speed75%
Attack 80%
Defence 75%
Remark 90%
Sawa hapo haupati pa kupenya labda uroge😂😂
 
Wanacho kufanya Bayern ni kutwaa umiliki wa Mpira muda wote,farsafa ya ushindi katika football lazma uhakikishe unamiliki mpira muda mwingi hii itawaathiri wapinzani wako na kuwafunga kirahisi ndicho wanachofanya Bayern
Kumiliki mpira 75%
Speed75%
Attack 80%
Defence 75%
Remark 90%
Sawa hapo haupati pa kupenya labda uroge
Haswa
 
Me nawapa kombe hawa jamaa
Ilo halina ubishi sema timu ambayo naiona inaweza leta upinzani kwa bayan ni redbull kwanini wanaampira flani wa haraka na pasi za uhakika sema kwenye kumalizia ndiyo wazembe kwa mpira wanaocheza ilibidi wawe wanafunga magoli mwngi sema utulivu tu unakosekana. PSG kazi anayo.
 
Hizi nusu fainali ni za machozi jasho na damu.unaweza stuka ukawakuta Lyon na redbull wako fainali
 
Lakini haikuwaga hivyo, sio? misimu iliyopita
Misimu mengine ilikua home and away mzee.wamefanya hvyo ili mashundano yawahi kuisha maana yalisimama sababu ya corona,yalitakiwa yawe yameisha mwezi wa tano but corona iliharibu,na wanachezea viwanja vya nchi moja tu Portugal(ureno)
 
Back
Top Bottom