RASMI: Baada ya Lyon kuiondoa Manchester City. Nusu fainali ya Bayern Vs Lyon

Lolote linawezekana

team yangu ya Barcelona ni mbovu

imebaki jina tu ndo mana hawajachukua kombe hata 1 msimu huu

lyon kwa sasa wako ktk ubora kuliko barca

kuwatoa Juventus na Manchester city inathibitisha ubora wao kwa sasa
Sawa wanaenda kukutana na bora zaidi yao hlo lazma utambue
 
Tatizo bayani jinsi utavyocheza na yeye ndivyo anacheza. Mechi mi naona kabisa bayani anapiga mtu sema si nyingi tokana na mfumo anaocheza Lyon wa kuzuia na kushambulia.

Tatizo la Jana la city nikujifanya wabaabe wakumiliki mpira haliyakuwa hawana mabeki wenye speed kushinda forward za lyon. City ilibidi wapaki Basi wajifanye wadogo waachie madogo wamiliki mpira afu ye acheze kimbinu. Magoli mawili yote ni counterattack
 
Tatizo bayani jinsi utavyocheza na yeye ndivyo anacheza. Mechi mi naona kabisa bayani anapiga mtu sema si nyingi tokana na mfumo anaocheza Lyon wa kuzuia na kushambulia

Tatizo la Jana la city nikujifanya wabaabe wakumiliki mpira haliyakuwa hawana mabeki wenye speed kushinda forward za lyon. City ilibidi wapaki Basi wajifanye wadogo waachie madogo wamiliki mpira afu ye acheze kimbinu. Magoli mawili yote ni counterattack
Lazma tukubali Lyon yuko na kiwango bora msimu huu
 
Tatizo bayani jinsi utavyocheza na yeye ndivyo anacheza. Mechi mi naona kabisa bayani anapiga mtu sema si nyingi tokana na mfumo anaocheza Lyon wa kuzuia na kushambulia.

Tatizo la Jana la city nikujifanya wabaabe wakumiliki mpira haliyakuwa hawana mabeki wenye speed kushinda forward za lyon. City ilibidi wapaki Basi wajifanye wadogo waachie madogo wamiliki mpira afu ye acheze kimbinu. Magoli mawili yote ni counterattack
Hivi hii michuano haitumii VAR? Yale magoli 2 ya mwisho ya Lyon ni kama offside yote
 
Lazma tukubali Lyon yuko na kiwango bora msimu huu
Kiwango bora lakini si wapishane na wajumbe (Bavarian). Hao jamaa kila idara wapo vyema mchakamchaka wa dakika zote 90 wanaweza, pasi mpenyezo ndiyo kabisa., Uchap wa ku recovery tena rahisi Sana kwao kusahihisha makosa yao papo kwa papo. Speed zikienda pamoja na mbinu ndy usiseme.

Binafsi naona Lyon wako vyemaa lakini bayan wako vyema zaidi yao ivyo lazima watulize akili. Af Kama umeona ile mechi ya wao na Barca wanamfumo flani wakukabia kuanzia juu na kufanya mabeki wa mbwele na kutoka miboko apoo tuu chumaaaa. Kingine awa jamaa ukizubaa na mpira wao washakunyang'anya ivyo itabidi wawe high level of attention.
 
Back
Top Bottom