Droo ya nusu fainali UEFA, Manchester City v Real Madrid, Atletico Madrid v Bayern Munich

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Droo ya nusu fainali ya michuano ya klabu bingwa ulaya imetoka
Manchester City imepangwa kukutana na Real Madrid, na Bayern Munich itakutana na Atletico Madrid ili kuingia fainali
Mechi za kwanza za nusu fainali hizo zitafanyika tarehe 26 na 27 Aprili na marudianao kufanyika tarehe 3 na 4 Mei
Fainali itachezwa tarehe 28 Mei 28 uwanja wa San Siro huko Milan Italia

62967948170da52f9fadea632920a295.jpg
 
Yani Madrid kwa mbeleko daaaah shida tupu

kwa hiyo man city kishatolewa? bas sawa zizou kishajiwekea cv ya kuipeleka final madrid.....ameweka rekod ya aina yake kapindua matokeo,kampiga baca na anabeba ndoo mana ushakata tamaa
 
Roma(last 16)-Wolfsburg(quarter final)-Man City(Semi final)----HA HA HA HA HA HA HA HA... It's incredible! No body gets all that luck. I am starting to believe in hot balls. They heat up the balls and they have to come out first before they cool. That's why Real Madrid and their opponent are always the first teams to be drawn. NICE ONE UEFA.
 
Ha Haaaaaaa. Kocha wa Bayern (Gudiola) alitamka hataki kukutana na Man City nusu fainali. sasa atakuwa anachekelea tu
 
HA HA HA HA HA HA HA HA... It's incredible! No body gets all that luck. I am starting to believe in hot balls. They heat up the balls and they have to come out first before they cool. That's why Real Madrid and their opponent are always the first teams to be drawn. NICE ONE UEFA.

Talking about a clear conspiracy in favor of Real Madrid. The only thing clear is that you're OUT of the Champions League. Now go home!
 
Man city watachukua hili kombe bila shaka. Watafanya walichofanya Chelsea na mwisho Wa siku watacheza uefa mwakani licha ya kukosa top four uingereza. Tuombe uzima na afya tushuhudie kurudiwa kwa historia.
 
real G

First, they have to beat Zidane who knows how to change the game kabla ya fainali.
I don't think it matters who manages Madrid. Huu mwaka utakuwa Wa Man city kwenye uefa. Hawa hawashiki mawili concentration yao iko hapo tu so hawata-lose focus kama Madrid ambao wamekuwa motivated na gap yake na Barcelona kupungua too just four point from more than 10 in the last two games. Hapa Madrid watalazimika kukaza kila mechi kwenye LA liga. Kwa hiyo hili litawafanya Madrid kuwa vulnerable to injuries na fatigue just before the match na City hapo tarehe 27 April.

Don't forget ushindi wa Man city utakuwa no slap in a face kwa uongozi Wa city kwa disrespect waliyomfanyia kocha wao Pellegrini na yeye atakuwa amewa-prove wrong kwa kuwa ilionekana city wameshinda kila kitu isipokuwa uefa tu.
 
Mkuu unaiongelea game kiupendeleo kiupendeleo Sana, aidha wewe Ni EPL fan au ufuatilii Spanish football or both. Sorry I'm not offending you lakini ukisema la liga itasababisha injuries kwa Real nakataa kwasababu wamefanya great rotation kwenye previous games nimeona kila mtu ameonyesha kwamba anataka kucheza na ndio good news kwa fans. Kwa mfano wameingia nusu fainali bila stoper Wao Varäne aliyekuwa injured au watu Kama Isco, James, Kovavic ambao walikuwa bench Tu. Sababu yako ya pili inakwenda both sides kwani hata Zizou anataka kuwa prove wrong waliomzarau eti Ni kocha wa daraja la pili na Hana experience yoyote
 
Hapana Mimi ninaangalia facts zilizo wazi tu wala Si ushabiki. Binafsi nashabikia Man united ingawa city ni adui yetu united lakini naamini huu mwaka ni wao. Usisahau kwenye robo fainali ni Barcelona tu ndiye aliyepewa fixture ngumu. Hao wengine ilionekana wazi nani atapita.
 
Nataman Manchester City apite Semi-final na akutane na Bayern Munich alafu amtoe ili awadhiirishie waingereza wanaoongea sana na wamuonyeshe kwamba pep guardiola kwamba nimekuachia kikosi ambacho kipo vizuri alafu kwamba yeye ni mkali sana bwana Emanuel Pelegrin
 
Hapana Mimi ninaangalia facts zilizo wazi tu wala Si ushabiki. Binafsi nashabikia Man united ingawa city ni adui yetu united lakini naamini huu mwaka ni wao. Usisahau kwenye robo fainali ni Barcelona tu ndiye aliyepewa fixture ngumu. Hao wengine ilionekana wazi nani atapita.

Naona umekwenda kwenye conspiracy kwamba Real Madrid hakupewa fixture ngumu lakini that will not make City to beat them. Kwenye football kila dakika 90 Ni tofauti na nyingine, mfano last season Atletico removed from UCL by Real Madrid, it's not even 2 weeks ago 10 men's Real Madrid beat Barcelona on their home ground. Hao PSG walipigwa na Real Madrid kwenye mzungu wa UCL season hii hii. Sasa Kama unasema huu mwaka Ni Wao kwa vile wewe unapendelea iwe hivyo then okay!
 
Back
Top Bottom