Wanajamvi nawasalimu,hivi kama wajumbe wa bunge maalumu la katiba wanamamlaka ya kubali hata rasimu yote na kuandika wanachoona wao kinafaa tafsiri yake ni kwamba tume ya jaji warioba haikuwa na umuhimu na hata haikustahili kuwepo kabisa na wajumbe wa bunge la katiba ndo hao tangu wameanza kikao dodoma wanasiku tano lakini watanzania wote tunashuhudi mgongano mkubwa wa kimaslahi wanakataat tzs300,000 kwa siku hela ambazo 90% ya wafanyakazi wa nchi hii wanapokea kwa mwenzi na kodi wanakatwa,70elfu na hapohapo wachangie mifuko ya kijamii,sasa hii nchi wakuiokoa ni nani? jamani mjumbe anasema kwamba hata aspokuwepo alipwe tu,na wote tunafahamu kwamba kamati imeundwa ili wachunguze sakata, hivyo serikali itawapa kwa kwa kutaka watekeleze matakwa yao,kwanini isiletwe rasmv kwa wananchi tukapiga kula ya kuikubali au kuikataa zeni wanaotaka hilo bunge likavunjwa??????