Rashid YEKINI reported dead, sad NEWS

Rashid YEKINI reported dead, sad NEWS

daby mouser

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2012
Posts
206
Reaction score
73
99637.jpg

Rashidi Yekini Reported DEAD!!!Posted by NigerianEye at 04/5/2012 09:42:00 PM,

The Legend of football Rashidi Yekini has died.A Sad day for sports in Nigeria and world. Rashidi Yekini Scored Nigeria's 1st Ever FIFA World Cup goal clutching the goal net thereafter.He scored a total of 34 goals in 58 Appearances for the Super Eagles.May His Soul rest in peace.
 
rashidi yekini reported dead!!!posted by nigerianeye at 04/5/2012 09:42:00 pm, the legend of football rashidi yekini has died.a sad day for sports in nigeria and world rashidi yekini scored nigeria's ever fifa world cup goal clutching the goal net thereafter.he scored a total of 34 goals in 58 appearances for the super eagles.may his soul rest in peace.

r.i.p.yekini!nigerian legend footballer!
 
Mwanasoka Nguli wa NIGERIA,RASHID YEKIN amefariki,kwa habari zaidi cheki wikipedia
 
Oh no!!

Rashid Yekini alikuwa bonge moja la center-forward.

Super Eagles ya mwaka 1994 ilikua tishio. Daima itakumbukwa na Yekini alikuwa mmoja wa wachezaji waliokimbiza sana mwaka ule katika kombe la mataifa huru ya Afrika na kwenye kombe la dunia USA.

Pumzika kwa amani kamanda. Ulitufurahisha wengi na tulijisikia faraja kutuwakilisha huko USA. Utakumbukwa daima milele.

 
Last edited by a moderator:
R.I.P. Rashid Yekini, soccer fans will always remember your goals.
 
nakumbuka alivyotikisa nyavu kwa hisia mno baada ya kufunga goli world cup 94

kumbe ile image ilikuja kuwa ndio image ya world cup ya 94

analia kwa furaha huku anavuta nyavu...

the best super eagle striker ever..r i p
 
Rashidi Yekini Reported DEAD!!!Posted by NigerianEye at 04/5/2012 09:42:00 PM, the Legend of football Rashidi Yekini has died.A Sad day for sports in Nigeria and world Rashidi Yekini Scored Nigeria's Ever FIFA World Cup goal clutching the goal net thereafter.He scored a total of 34 goals in 58 Appearances for the Super Eagles.May His Soul rest in peace.
Yekini, aliyewahi kuwa mchezaji bora wa Afrika mara mbili, amekuwa akiugua maradhi ya akili kwa zaidi ya miaka mitatu iliyopita na aliripotiwa kuwa mgonjwa kwa kipindi kifupi kabla ya kuaga dunia hiyo jana.
Zaidi: Goodbye to 'The Hulk' Yekini - SuperSport - Football
 
Namkumbuka alivyomtungua Andoni Zubizareta WC'98.
RIP Yekini!
 
Duh! Huyu mwanandinga namkumbuka sana hasa ktk mwaka 1998!
Alikuwa kiungo muhimu sana kwa Wanaigeria

Rest In Peace Rashid Yekini!
 
Duh.. R.I.P.
Alikuwa wa ajabu sana... Pamoja na umbo kubwa,lakini bado aliweza kusumbua mabeki wa timu pinzani na kufunga mabao!

Simsahau kwenye mechi za Olimpiki kule Marekani... Akicheza na kina Bebeto,na Christano Ronaldo,akina Ortega,na bado Nigria wakachukua Kombe...

Kweli nimesikitika ....
 
RIP Nigerian Legend, nakukumbuka World Cup 1994 USA
 
Oh no!!

Rashid Yekini alikuwa bonge moja la center-forward.

Super Eagles ya mwaka 1994 ilikua tishio. Daima itakumbukwa na Yekini alikuwa mmoja wa wachezaji waliokimbiza sana mwaka ule katika kombe la mataifa huru ya Afrika na kwenye kombe la dunia USA.

Pumzika kwa amani kamanda. Ulitufurahisha wengi na tulijisikia faraja kutuwakilisha huko USA. Utakumbukwa daima milele.



Wat a great lost?jamaa alikuwa fundi sana hakuna anayebisha!
 
Last edited by a moderator:
Taa imezimika! kweli ni huzuni kubwa kwa tunaomfahamu
R.I.P Yekini.
 
RIP yakin.amenikumbusha super eagles ya Taribo west,babayaro,amokachi,J J okocha
 
nakumbuka alivyotikisa nyavu kwa hisia mno baada ya kufunga goli world cup 94

kumbe ile image ilikuja kuwa ndio image ya world cup ya 94

analia kwa furaha huku anavuta nyavu...

the best super eagle striker ever..r i p

Mkuu nakumbuka sana lile goli alipoingiza mikono yake ktk nyavu! Uwanja mzima yeye ndiye alikuwa akionekana mweusi tii kuliko wote! APEPE (ALALE PEMA PEPONI) Yekini.
 
Back
Top Bottom