Rasharasha za Pasaka: Askofu Mameo ataka Tume Huru ya Kweli

Rasharasha za Pasaka: Askofu Mameo ataka Tume Huru ya Kweli

Hii ni ishara tosha kwamba kumeanza kupambazuka
Keshokutwa utatoka Waraka rasmi wa kupinga haya yanayoendelea.

Wahusika wasipochukua hatua, kunaweza kuzuka mgawanyiko mkubwa zaidi
 
Kwahiyo mzee Wasira, Amos Makala, Emanuel Nchimbi , meigulu nchemba ,na dk tulia akson pia ni Imani Moja na madam president?!
Unakumbuka kete iliyotumika kupunguza kura za JK Mwaka 2010?
 
Ukizungumzia Tume huru ya uchaguzi, kuna watawala wanasema unataka kuvuruga amani na kuhatarisha usalama.

Unaweza kufikiri wanazungumzia amani na usalama wa Tanzania, kumbe ni amani na usalama wa matumbo yao na familia zao.
​
 
Jifunze kitu kimoja kwenye maisha, na hicho huwa hakibadiliki, dhuluma si kitu cha kudumu. Na mabadiliko yakifika yamefika huwezi kuyazuia. Heshimu sana nyakati. Nyakati zikifika zimefika.
Naheshimu nyakati lakini sio hizi za wapiga soga mitandaoni jamii forum na X...
 
Back
Top Bottom