Rasharasha za Pasaka: Askofu Mameo ataka Tume Huru ya Kweli

Rasharasha za Pasaka: Askofu Mameo ataka Tume Huru ya Kweli

G55 wakina Ntobi nani anawasikiliza wale watu 50 ukweli ni kwamba wanaoitaji tume huru ni wengi
Wengi wako wapi hao?! CCM hawana tatizo na time ya uchaguzi, vyama vya upinzani 17 kati ya 18 vyenye usajili wa kudumu wapo tayari kuingia kwenye uchaguzi utakaoratibiwa na tume hiihii iliyopo hivi sasa.
Huko chadema kuna wabunge 19 wa viti maalumu waliopo bungeni na hawa G55 wanaotarajia kugombea wapo tayari kuingia kwenye uchaguzi utakaoratibiwa na tume iliyopo hivi sasa.
Sasa hao watu wengi wanaotaka tume mpya ya uchaguzi wapo wapi wakati CCM ndio chama chenye wanachama wengi zaidi kuliko vyama vyote vilivyobakia?!
 
Ukizungumzia Tume huru ya uchaguzi, kuna watawala wanasema unataka kuvuruga amani na kuhatarisha usalama.

Unaweza kufikiri wanazungumzia amani na usalama wa Tanzania, kumbe ni amani na usalama wa matumbo yao na familia zao.
​
Hili linashangaza sana. Ni kama nchi ni mali yao binafsi
 
Nawaomba Sana maaskofu wangu kupitia tech waungane na wanaodai haki, tume huru ya uchaguzi ni muhimu sana..,
 
Hiyo tume waunde za huko kwao kwa ajili ya chaguzi zao, tume yetu ni huru hao wapumbavu wasitake kulazimisha matokeo
Ona hili punguani lilichoandika. Haya ndiyo mashetani kwa umbo la mwanadamu.

Asiyeitaka haki ni shetani.
 
Back
Top Bottom